tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Ubalozi Marekani watahadharisha raia wake nchini Tanzania kuhusu kimbunga Jobo

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam. Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Akiwa nje ya nchi, amezingatia tahadhari

    Leo Rais Samia akiwa Uganda, ameonekana kwa mara ya kwanza [kwa nijuavyo mimi] akiwa amevaa barakoa. Maajabu! Pia, akiwa huko na mwenyeji wake, pamoja na kuvaa barakoa, ule ukaaji wa mbalimbali pasipo na kurundikana na kujazana kwenye sehemu moja nao umezingatiwa. Nitpicking: she doesn’t...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM wameshaivuruga nchi - TAHADHARI

    Kwa kweli namna katiba inavyovurugwa ni wazi kabisa Chama cha Mapinduzi kimeshaivuruga nchi na sasa, na sasa kila mmoja anaongoza kivyakevyake, msemo wa Kiswahili maarufu ule usemao mwenye nguvu mpishe, ndio tunaokwenda nao sio tena kufuata ule msemo wa Uongozi ni dhamana. Mnavuruga Katiba ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuchukue tahadhari ya Corona. Jirani zetu Kenya hali ni tete haspitali zimezidiwa wagonjwa

    Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao. Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete. Zaidi soma > Wataalamu wa afya wanahofia kuwa wagonjwa wengi wa Corona...
  5. Page 94

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaoenda kumuaga Rais Magufuli

    Wasalaam! Wakati zoezi la kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg John Pombe Magufuli likiendelea mkoani Dar es Salaam ni vema kila anayepanga kwenda kutoa heshima za mwisho achukue tahadhari zifuatazo. a) Jitahidi uvae barakoa. Inakupasa kufahamu ya kuwa unaenda...
  6. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Nakazia, viongozi chukueni tahadhari ya Corona

    Naombeni kuwakumbusha viongozi wetu pamoja na wasaidizi wa viongozi, MSIICHUKULIE POA CORONA, CHUKUENI HATUA MADHUBUTI KIPINDI HIKI CHA MKUSANYIKO WA MSIBA WA KUMUAGA HAYATI JPM. Nanyi wasaidizi wa Rais mteule wa sasa Mh. Samia Suluhu, hakikisheni mnamlinda kwa gharama zozote na maambukizi ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jicho langu la Kiufundi na Tahadhari kwa Simba SC kuelekea katika ' Desicive Game ' yake na AS Vita Club tarehe 2 April, 2021

    ANGALIZO Nitakayoyaandika (Kuyaeleza) hapa ni Maoni na Mtizamo wangu Mimi All - Rounder na sikulazimishi uukubali bali uheshimu tu tafadhali. PONGEZI Nisiwe mchoyo wa Pongezi kwa Mafanikio haya makubwa ambayo kwa sasa Klabu ya Simba imeyafikia ikiwemo Ushindi wake wa jana wa Magoli 3 kwa 0 na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, watu wa mtaani kwako wanachukua tahadhari dhidi ya #CoronaVirus?

    Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini Je, hali ikoje kwenye mtaa wako? Watu wanachukua tahadhari au wanapuuzia ugonjwa? Je, unachukua hatua yoyote kuwaelimisha zaidi?
  9. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Askari wetu acheni kucheza na maisha yenu. Hivi tahadhari dhidi ya COVID-19 iko wapi hapa?

    Hivi kweli hapa askari wangu hapa mnajiaminia nini ndugu zangu? Au mnafikiri mdudu naye mtampiga risasi? Kuna wakati tunatakiwa kutumia maarifa ikiwa tunayataka maisha marefu na tunatambua kua familia zinatutegemea.
  10. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania White House yataka taasisi kuchukua tahadhari baada ya Microsoft Exchange kudukuliwa

    Ikulu ya Marekani imeonesha wasiwasi wake baada ya shambulio dhidi ya huduma ya Exchange ya Microsoft ikitaka taasisi binafsi na za serikali zilizoathiriwa kuchukua hatua za haraka ili kuepusha madhara zaidi. Katika ujumbe wake kwa waandishi wa habari siku ya Ijumaa, Msemaji wa Ikulu ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Corona haina kinga kwa maana ya Chanjo - Jikinge kwa hali na mali chukua tahadhari

    Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie. Hizi chanjo zipo kwenye majaribio na safari hii zinapelekwa direct kwa binadamu, ndio ikasemwa haata...
  12. J

    JamiiForums Tanzania RC Mghwira: Kifo cha Arthur Shoo ni udhihirisho kuwa Corona imerudi hivyo wananchi chukueni tahadhari!

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mh Anna Mghwira amesema kifo cha bwana Arthur Shoo aliyekuwa Katibu mkuu wa KKKT dayosisi ya kaskazini ni ushahidi kuwa Corona imerudi tena. RC Mghwira ambaye ameongozana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa katika ibada ya mazishi ya Shoo amesema kamati yake...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Video: Daktari Elisha Osati aeleza hali ya Corona nchini. Asisitiza watu kuchukua tahadhari

    Daktari Elisha Osati akiwa kipindi cha Mtazamo cha Clouds Plus ameeleza hali ya Virusi vya Corona ilivyo nchini pamoja na uchukuaji wa tahadhari. Akijibu swali la Mtangazaji wa kipindi hicho lililomtaka kutoa tathmini ya hali ya Corona nchini Daktari Elisha alisema: "Hili swali uliloniuliza...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Kuchukua tahadhari dhidi ya Corona hakuhitaji kusubiri tamko la Rais

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa sababu siyo kila jambo ni lazima Rais atoe kauli. Mchungaji amesema kama unaona kuna tatizo mbele ni lazima uchukue tahadhari kwa sababu akili unazo. Nawatakia Kwaresma yenye baraka...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Epukeni misongamano isiyo ya lazima, vaeni barakoa safi na salama

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA HATUA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA NA YASIYOAMBUKIZA NCHINI Dodoma, Jumatano 24 Februari, 2021. Ndugu Wananchi, kila mwaka kipindi...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Rais amekwishasema "tuendelee kuchukua tahadhari lakini hakuna lockdown" Wizara ya afya mmesubiri nini kuhamasisha watu kuchukua tahadhari

    Bado naendelea kuwashangaa wizara ya afya, kiongozi wetu mkuu kila mara anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhari. Mara ya mwisho nimemsikia raisi wetu tarehe 19.02.2021 akirudia msemo huu, sasa sijui mnasubiri raisi ndiye afafanue tahadhari anazozisema ni zipi? Rais ameendelea kusema mwaka...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Father Dkt. Kitima: Tunakubaliana na Rais Magufuli kwamba tumuombe Mungu na tuchukue tahadhari za kisayansi dhidi ya Covid 19

    Akizungumza katika misa ya mazishi ya Balozi Kijazi Katibu wa TEC father Kitima amesema wanakubaliana na tamko la Rais Magufuli kwamba wananchi wamwombe Mungu bila kuacha kuchukua tahadhari za kisayansi dhidi ya ugonjwa wa Corona. Father Kitima amesema ni vema wananchi wakachukua tahadhari zote...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri msiba wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif

    Leo ni mazishi ya makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad na mwili umeshawasili msikiti wa Maamur kutoka Lugalo. Watu kadhaa wamefika ikiwemo kiongozi wa ACT, Zitto Kabwe, mufti wa Tanzania na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. ======== Zitto Kabwe: Assalam...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nawatakia Kwaresma yenye baraka. Chukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko yanayoambukiza

    Mungu ni mwema na leo ni Jumatano ya majivu tukiuanza rasmi mfungo wa Kwaresma sisi tuliokombolewa kwa damu ya Yesu. Nawatakia nyote msimu mwema wa Kwaresma na mfungo wenye baraka kwa wote wenye mapenzi mema. Vaa barakoa, Nawa mikono mara kwa mara na Epuka misongamano. Mungu wa mbinguni...
  20. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Rais wa TEC atoa ujumbe wa Kwaresma, asisitiza Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

    Askofu Nyaisonga kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) asema wanatambua Dunia nzima inahangaika kupambana na maradhi ya #COVID19 yanayosabishwa na #VirusiVyaCorona Awahimiza Watanzania kutokuwa watumwa wa hofu na kuchukua tahadhari. Asema ni wajibu wa kila mtu kuufuata ukweli na...
Back
Top Bottom