Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa.
Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Amina.
Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu.
Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania lazima iwe makini maana linaelekea kutokuhimilika
Chanzo: Mwananchi
====
Licha ya Serikali...
Katika pitapita yangu ya kupata habari za dunia, nimekutana na habari ambayo imenishitua sana ikisema ndege za ATR ambazo hapa kwetu zinatimiwa na Precision Airways si salama tena kusafiria, na hata sasa zinaingizwa katika orodha ya ndege mbaya duniani zilizowahi kutengenezwa (the worst planes...
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imewataka wananchi wa mikoa ya Njombe, Songwe, Mbeya na Ruvuma, kuchukua tahadhari kufuatia kuwepo kwa upepo mkali ambao unaweza kusababisha mazao yao ya chakula kuathirika.
Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
Hivi majuzi balozi wa USA nchini Tanzania alialikwa na wizara ya mambo ya nje, wakamsihi sana kwamba Marekani iache mambo ya kutangaza tangaza hali ya Corona ilivyo Tanzania, lakini mabeberu huwa wakaidi sana, wana jeuri isiyo ya kawaida, wamejibu kwa kutoa tahadhari nyingine dhidi ya Tanzania...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini waliobaki kwenye vituo vya matibabu imepungua mno.
Akizungumza Leo mkoani Tanga wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo amesema:
“Tanga hatuna mgonjwa wa Corona, Amana wamebaki 3, Mloganzila 1, Kibaha 0...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida maeneo mengi ya jiji la Dar wakazi wake wameacha au kupunguza kuwa na tahadhari na ugonjwa huu .... Watu hawavai barakoa watu hawànawi kama ilivyokuwa siku chache gonjwa likipopamba moto.
Mwanzoni ilikuwa tahadhari ipo kila mahala na hata ndani ya mabasi ya...
Kichaa mmoja wa kiume alikatiza porini akiwa uchi kama alivyozaliwa wanyama wote wakatoka spidi kumkimbia.
Fisi akamuuliza simba, imekuwaje hadi wewe mfalme wetu umekimbia?
Simba akamjibu weee! nani hajipendi?
Tokea nzaliwe sijawahi ona mnyama mwenye mkia kwa mbele.
#MAN_VIBES
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu ametoa agizo kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kuongeza idadi ya mabango ya barabarani yanayoonyesha tahadhari na faini kwa madereva watakaogonga wanyamapori katika barabara ya Babati kuelekea Arusha.
Ametoa agizo hilo...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
1. Kuna watu wanapenda kusikia taarifa zako mbaya kuliko njema.
2. Kuna watu wanakuwa wa kwanza kukupa taarifa mbaya kuliko njema.
3. Kuna watu Ukipata tatizo lolote wao ndio wa kwanza kukupigia simu wakati hujatoa taarifa popote.
4. Kuna watu kila unachokifanya wanakifatilia halafu wanacomments...
Mkakati - kama mtu anaweza kuuita hivyo- wa serikali ya awamu ya tano kupambana na COVID-19 kuwaambia watu "waendelee kuchapa kazi huku wakichukua tahadhari". Binafsi ninachokiona ni kuwa serikali hii imeamua kufuata falsafa ya "do-nothing-and-the-problem-will-go-away". Kwa nini?
1. Naomba mtu...
Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.
Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.
Tunafahamu kuna ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.