tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Corona ipo,tuchukue tahadhari

  2. Ze burner

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za vyombo vya majini Zanzibar na Bara, msipochukua tahadhari Watanzania watalia hapo mbele

    Leo tarehe 20.12.2020 muda huu naandika nikiwa katika chombo cha Zan Fast Ferry (Zanzibar 2) tulitaraji kuondoka majira ya saa 10.15 jioni kwa mujibu wa ticket zetu ila katika hali isiyotarajiwa tumeondoka saa 10.55 jioni baada ya kupigwa na joto kali hatqri huku watoto wakipiga kelele kwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Msilipue ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbezi Louis

    Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais. Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea. Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha leo

    Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.
  5. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kusafiri kwenda Mtwara

    Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara. NB Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu? Kuna mengi tunafichwa. Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona adui anakubembelezea chakula, chukua tahadhari!

    Ghafla umezuka wema kutoka kusikojulikana kuwaomba CHADEMA wawasilishe majina ya wabunge wa viti maalum ili wajumuishwe kwenye mchakato wa uapishaji. Hii inaogopesha! Ni wiki moja tu imepita tokea wafuasi na viongozi wa CHADEMA kufanyiwa kila aina ya unyama na mwisho kupokwa kila...
  7. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Marekani: Trump amshutumu Biden kuiba kura, Twitter yatoa tahadhari kuhusu chapisho la Trump 'linalopotosha'

    Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter akiwashutumu wapinzani wake (Joe Biden) kuiba kura. Trump aliandika...
  8. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar: Tahadhari, epuka njia hii usiku huu

    Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi. Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa. Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
  9. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tahadhari kwa mawakala kwa vyama vya upinzani nchini tarehe 27/10/2020 mkalale kwenye ofsi za vyama vyenu

    Hii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu, Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa ni trela tu, msipojiandaa pia tarehe 27/10/2020 kutakuwa na vituko mpaka mtashangaa, hivyo...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa tahadhari ya kuwepo kwa magonjwa ya mlipuko kutokana na mvua zilizosababisha mafuriko maeneo mbalimbali

  11. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

    Heshima kwenu wakuu" system" Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote. Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari za ahadi za majukwaani

    Nikiwa kama mwananchi mzalendo, nimetafakari sana athari tutakazozipata kutokana na ahadi zinazotolewa katika majukwaa ya siasa hasa katika kipindi hichi cha kampeni. Baadhi ya wanasiasa wamekuwa wakiahidi mambo ambayo ukiyaangalia kwa undani hayawezi kutekelezeka hata kidogo. Tumemsikia...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo JKCI yatoa tahadhari kutokana na ongezeko kubwa la watu wenye matatizo ya moyo

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ya Dar es Salaam imesema wagonjwa wanaofika kliniki ya hospitali hiyo kwa siku ni 200 hadi 400. Habari zinasema kwamba kwa takwimu hizo tatizo la magonjwa ya moyo nchini ni makubwa. Daktari Bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka JKCI, Dk Samwel Rwehemamu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari - Vionjo vitamu vya uongo wanavyotoa wagombea wa CCM

    WaTanzania kaeni chonjo na hotuba za viongozi na wagombea wa CCM,wasikilizeni tu,mkiondoka unakibusu kichinjio huku unajisemea CCM mtanitambua mwaka huu.Chakubanga anakusanya vyombo vya habari na kurusha tumbaku,uongo mtupu,ila jamaa anajua kupangilia kama una akili ya kizezeta unaona kasema...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya utapeli wa ardhi/mashamba ya miti wilayani Mufindi. Wenye mashamba yao watakiwa kuhakikisha usalama

  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya upungufu wa chakula yatolewa kutokana na mvua chache

    Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa mwezi Oktoba, Novemba na Disemba unaonyesha kwamba maeneo mengi ya nchi yatapata mvua chache na hivyo kusababisha athari ikiwemo upungufu wa chakula. Mkurugenzi mkuu wa TMA Dkt Agnes Kijazi amesema hayo leo jijini Dar es...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Siasa isituharibie elimu yetu

    Kumekuwa na jitihada nyingi wakati wa uchaguzi wanasiasa kutaka kuonesha walivyofanya maajabu, ubaya nipale yanapotengenezwa mambo kinguvu ili kusadifu matakwa ya wanasiasa. Tunakumbuka 2013 matokeo ya K IV yalinogeshwa ili BRN (big results now) ionekane imeleta output kubwa enzi hiyo. Hivi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kubwa sana kwa Wana CCM, usikubali

    Wapemba wanasema kaa chonjo saa mbaya. Ewe Mwana CCM upepo unaovuma ni kivumbi cha wananchi walio wengi tena wenye hasira ambao wameamua kupiga kura kwa kishindo kuondoa utawala na kusimika uongozi. Usikubali kutumika kuingilia au kutumwa kuvuruga mwendo kasi huo, watawala watakuja kukukana na...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Wanawake wengi hatarini kukamatwa/kufungwa. Tujulishane hili

    Kutokana na TAKUKURU kuonekana wamepewa meno kukamata wanaotaka rushwa na pia watoaji. Kuna hatari kubwa ya wanaume na wanawake wengi kukamatwa. Tunajua jinsia ambavyo wadada wengi wamekuwa hawakubali kutoa penzi mpaka wapewe rushwa jambo hili limeonekana luwa linaleta changamoto kwa maskini...
  20. Kididimo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tahadhari kubwa: CHADEMA msipompitisha Lissu, mmekwisha. Si ajabu msipate hata Diwani mmoja. Mbowe take note

    Tumaini la wafuasi wa siasa za Upinzani wa vyama vya siasa nchini na katika uchaguzi 2020 ni Comrade Tundu Lisu . Kwa mtizamo wa wengi na kwa utafiti niliofanya, Lisu is the last breath, any other way round is a stupidity! Take note! Kamati za Chama Chake kuweni makini kuanzia leo hadi...
Back
Top Bottom