Leo jijini Dar es Salaam nimeshuhudia watu wengi wakiwa wamevalia barakoa na maeneo mengi kuna maji tiririka.
Hata benki na TRA nimeshuhudia barakoa za kutosha tu kwa watumishi.
Kiufupi wananchi wanajitahidi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona ila kwenye vyombo vya usafiri ndio wanakofelishwa...
Mabibi na mabwana hii ni tathmini fupi ya matukio yanayoendelea na ugonjwa huu hapa nchini. Kwa hakika ni wazi kuwa pana tafahadhari nyingi na za msingi sana ambazo sasa hivi wananchi wao kama juhudi binafsi tu, wanazichukua.
Ama kweli "Mwenye macho haambiwi tazama." Kama vifaranga wa kuku sasa...
Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine.
Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
Salaam Wakuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.
Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni...
Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
Kuelimisha/kifundisha (teaching)
Kuandika vitabu (publication)
Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji...
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya...
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA
OFFICE OF THE VICE CHANCELLOR
P.O. Box 23409 Tel: 255-22-2668992/2668445 Dar es Salaam, Tanzania Fax: 255-22-2668759
http://www.out.ac.tz E-mail: vc@out.ac.tz
WARAKA WA TAHADHARI YA MAAMBUKIZI YA COVID 19 NA 21
8 Februari 2021, Dar es Salaam,
Ndugu...
Ni jambo jema.
Kinga ni bora kuliko tiba.
Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Rais wa Tanzania Magufuli:
aamuru Waz. ya Afya kuwa tahadhari juu ya chanjo mpya,
aamuru kampuni za madini kuunda ushirikiano na kampuni za Tanzania,
kazuia uingizaji wa bidhaa fulani kulinda soko la ndani,
kaongeza ukusanyaji wa ushuru,
kazuia usafirishaji wa mchanga wa madini, na sera zingine...
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila...
Ubalozi wa India nchini Tanzania umetoa tangazo la tahadhari unazochukua ili kukabiliana na maambukizi ya virusi vinavyoenezwa kupitia mfumo wa upumuaji.
Ubalozi huo umeweka zuio kuanzia tarehe 27/01/2021 la watu wasio na miadi (appointment) kuingia katika ubalozi huo hadi hapo itakapotoa...
Naona Watanzania wameamka na kuanza kuchukua tahadhari ambapo uvaaji wa barakoa sasa umeanza kurudi mitaani.
Kwa upande wa kampumi ya simu za mkononi ya Tigo, wao wameenda mbali zaidi ambapo ukitaka kuingia katika ofisi zao, unapimwa kwanza joto mlangoni na askari kabla ya kuruhusiwa kuingia...
Sasa ni dhahiri Wananchi wa Tanzania wamekomaa kimawazo na kiakili , nimepita maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam , liliwemo eneo korofi la Kariakoo nimeshuhudia hatua kadhaa za kujilinda na maambukizi zikichukuliwa na wananchi wenyewe huku wakihamasishana kujifanyia usafi wa mikono kwa maji...
Leo tarehe 20.12.2020 muda huu naandika nikiwa katika chombo cha Zan Fast Ferry (Zanzibar 2) tulitaraji kuondoka majira ya saa 10.15 jioni kwa mujibu wa ticket zetu ila katika hali isiyotarajiwa tumeondoka saa 10.55 jioni baada ya kupigwa na joto kali hatqri huku watoto wakipiga kelele kwa...
Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais.
Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea.
Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu...
Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.