tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tahadhari kutoka Hospitali ya Taifa

    UJUMBE KUTOKA HOSPITALI KUU YA TAIFA Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama; saratani ya kizazi imeenea tafadhali epuka kuosha sehemu zako za siri kwa...
  2. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

    Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021. Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid. Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale. Japan wametangaza WIMBI LA TANO...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Corona ipo, chukueni tahadhari

    Nawasihi Watanzania wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Korona (Uviko-19) kama tunavyoelekezwa na wataalamu wetu wa afya. Tunawe mikono kwa maji tiririka na sabuni, tutumie vitakasa mikono, tuvae barakoa na tusigusanegusane. Ugonjwa wa Korona upo.
  4. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Hii tahadhari ya Corona haihusu Vyombo vya Usafiri?

    Ni wazi kwa sasa Tanzania imeungana na nchi nyingine katika kufata taratibu zinazoitwa za kuzuia maambukizi ya mlipuko wa corona wimbi la tatu katika jamii. Imekua ni week iliyoanza kwa tahadhari na inaendea kuisha ya matamko ya wimbi la tatu ya Janga hili la Covid-19 kuanzia kwa madaktari na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkuu wa Mkoa awataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa CORONA

    RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA CORONA. Kufuatia kuwepo kwa Viashiria vya Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla* amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari* na kuziagiza Taasisi na sehemu zote za mikusanyiko kuweka ndoo za Maji na...
  6. 2019

    JamiiForums Tanzania Kutahadharisha kuhusu wimbi la tatu la Covid-19 bila kuchukua hatua stahiki ni kumpigia mbuzi gitaa

    Kwa sasa wizara, mahospitali TVs na radio kelele ni kujikinga au kuchukua tahadhari za wimbi la tatu la Covid-19. Lakini tahadhari hizi sioni kama zina maana yeyote kwa mwananchi sababu watu wanaendelea na maisha kama kawaida inasaidia nini? Hutoi takwimu ili watu wajue kuwa mdudu kashaingia...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania MUCE yawataka Wanafunzi na Wafanyakazi kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID-19

    Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya chukueni tahadhari kuhusu COVID-19, Waganda wanateketea

    Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda. Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana. Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa...
  9. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  10. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
  11. Bepari la bariadi

    JamiiForums Tanzania Kuna tahadhari za kuongezeka matukio ya ujambazi na unyang'anyi, mamlaka husika zimeshindwa?

    Pasipo kumung'unya maneno Hali ya usalama wa raia na Mali zao imetikiswa kwa kipindi hiki, matukio ya ujambazi, unyang'anyi, ukwapuaji, na ukabaji yameendelea kushamiri sasa licha ya kuwepo na matamko mbali mbali kutoka kwa wenye dhamana na usalama wa raia. Kama halijakukuta Basi fanya simple...
  12. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na kutochukua tahadhari ya Corona katika mikutano yake

    Wameendelea kutovaa barakoa. Ni CHADEMA hawahawa walioishinikiza serikali ya awamu ya 5 itoe takwimu za kila siku za wagonjwa wa UVIKO-19. Ni CHADEMA hawahawa walioupinga msimamo wa jemedari Hayati Dkt. Magufuli juu ya kutowekwa lockdown nchi nzima/maeneo yenye msongamano. Kipi kilitarajiwa...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania Madaktari waeleza umuhimu wa nywele sehemu za siri

    Madaktari waeleza umuhimu wa nywele sehemu za siri Dar es Salaam. Wataalamu wa afya nchini Tanzania wamesema nywele sehemu za siri hazitakiwi kuondolewa kutokana na umuhimu wake hasa kuzuia bakteria na wadudu mbalimbali kuingia mwilini. Wamesema kulingana na tafiti mbalimbali zilizowahi...
  14. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Viongozi wa Yanga wadhibitiwe

    Niwasilishe maskitiko yangu kwa kutochezwa kwa mchezo wa Simba na yanga 8. 5. 2021. Naitazama yanga na naitazama TFF na nawatazama viongozi wa Yanga naiona hatari mbeleni. Najiuliza hawa viongozi wanazifaham Simba na Yanga? Ivi leo hii Simba au Yanga ishushwe daraja tu moja athali zake...
  15. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: wimbi la wizi wa Mtandaoni kutumia simu

    habari za leo. Nawataarifu kuwa kuna wezi wanazunguka kwenye vituo mbalimbali wakidanganya watu kuwa wanawarekebishia vifurushi vilivyotajwa na Mh Raisi. Wana swap simcars kuchykua taarifa za akaunti za benki na za mitandao ya simu na kuiba fedha. na kama huna fedha wanakopa kutumia salary...
  16. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyata na Samia walikutana kwa tahadhari za Covid ila wameagana bila tahadhari

    Inapendeza sisi ni ndugu Hata wanyama wa Tanzania wakienda kenya.
  17. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege, Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CORONA toka India, tuchukue tahadhari kubwa!

    Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi. Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya kibiashara na watu wengi huja na wengine kwenda India. Sasa hivi gonjwa la covid linatesa huko India...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mashirika na taasisi mmejipangaje na tahadhari ya kimbunga ili kuondoa usumbufu na hatari kwa wateja wenu?

    Matamko na Tahadhari zinapotolewa na wataalam; Serikali za kiafrika hasa Tanzania kumekuwa na kasumba ya baaadhi ya mamlaka/mashirika kujitoa kuwajibika ipasavyo kwa watu wake! Je, tahadhari hii ya kimbunga awamu hii Taasisi na mashirika mmejipangaje kupunguza hatari ya kimbunga kiafya na...
Back
Top Bottom