Nawatakia Kwaresma yenye baraka. Chukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko yanayoambukiza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Mungu ni mwema na leo ni Jumatano ya majivu tukiuanza rasmi mfungo wa Kwaresma sisi tuliokombolewa kwa damu ya Yesu.

Nawatakia nyote msimu mwema wa Kwaresma na mfungo wenye baraka kwa wote wenye mapenzi mema.

Vaa barakoa, Nawa mikono mara kwa mara na Epuka misongamano.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Maendeleo hayana vyama.
 
Tumekuwa na Taifa la wapumbavu kila kona!Yaani badala ya kusema waziwazi kuwa tujikinge na Corona unafichaficha kuwa ni magonjwa sijui ya mlipuko ya kuambukiza!Ukweli mchungu ni kwamba hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo.
2825585655.jpg
 
Kwani kipindupindu kimeisha hapa duniani?

Acha kukurupuka.
Acha upumbavu!Kwa sasa hivi changamoto kubwa tuliyo nayo ni huu ugonjwa wa Corona ambao unaua kila kukicha na tunapaswa kuelekeza nguvu zetu nyingi huko.Unataka tuelekeze nguvu nyingi kwenye kipindupindu amacho hakipo wakati Corona inaangamiza Taifa kwa sasa?Unafikiri kwa kutumia akili za wapi?Unadhani kuwa tutaishinda Corona kwa kujidanganya kuwa haipo?Kwa nini mnakuwa na akili ndogo kama watoto wadogo waliovaa pampasi?
 
Back
Top Bottom