swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngsharo

    JamiiForums Tanzania CHALLENGE: Uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi unapata zawadi

    Jamani tuchangamshe ubongo kidogo, uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi kuna zawadi ya vocha unapata. Kwahiyo jitahidi kuuliza maswali rahisi ili watu wakupe majibu sahihi, wakikosa ujue nawewe umekosa vocha. Naanza mimi kuuliza; 𝗕𝗶𝗻𝗮𝗱𝗮𝗺𝘂 𝗮𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗰𝗵𝗼 𝗺𝗮𝗻𝗴𝗮𝗽𝗶?
  2. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer Swali

    Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer. Mimi; unafanya biashara gani teacher...?? Lecturer; Hahaahahhaaaaa sina biashara. Mimi; Kwanini...?? Lecturer; Unajua ukifungua biashara ukimuweka mtu mara akuibie mara ufilisike mara hivi mara vile. Mimi; Sindo...
  3. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi kwa wadau wa elimu kinachoendelea shule za umma

    Niende moja kwa moja kwenye mada,. kutokana na kuwepo na ushindani wa ufauru wa kishule kimkoa nk, tumeona watendaji mbali mbali ngazi ya taifa mpaka wilaya wakija na mikakati mbali mbali ya kuinua ufauru ila Kuna masula haya yameibuka na kama kumekuwa Kuna kuigana hapa bila kuwa na mbinu...
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania TBC yazima Matangazo Swali la Mpina lisisikike kwa watanzania

    Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali Baada ya...
  5. JumaKilumbi

    JamiiForums Tanzania Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

    Katika uzi nilioufungua jukwaani hapa nilioutumia kuwaalika Atheists kuleta hoja za kuthibitisha kuwa Mungu hayupo ili tujifunze kuhusu misingi yao, wachache hawakunielewa kwa kudhani nilitaka mabishano, ila nimepata hitimisho lifuatalo Baadhi ya Atheists wanashindwa kuelewa Mungu huyu (kama...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

    Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi. Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi. Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
  7. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Swali kwa dawasco! au kwa anaejua

    Ni hivi, nimevuta maji yapata miaka mitano iliyopita, ilinighalimu Kama laki saba hivi,. sasa Kuna mtu jirani yangu ameenda mamlaka ya maji ,baada yakutajiwa ghalama Hadi maji yafike kwake Ni kubwa, wakamuambia heti akiweza aniombe Mimi jirani yake nimuandikie barua hili aipeleke huko avute...
  8. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Ni swali Kwa moderator au Mh. Mmliki wa JF

    Udom ina special thread/uzi wake nilitokea kuuona humu. Kwa nini haujawekewa 📌 sticky Ielekeweke umuhimu na heshima ya Chuo hili inabaki mokononi mwenu. Tunaomba thread Ile iwekewe pin. Uzi huu udom
  9. C

    JamiiForums Tanzania Swali gani lilikukera ulipoulizwa na makarani wa Sensa?

    Wakati wa Sensa kuna maswali mengi sana yaliyoulizwa na Makarani wa Sensa, mengine yalifurahisha, mengine yalikasirisha, ilimradi waweze kutumiza malengo na kazi iliyowapeleka. Mfano, unatumia jiko la aina gani? Umeshawahi kutumia smartphone? Unamiliki guta...
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

    Wakuu humu ndan nna swali langu. Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote...
  11. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Basketball nina swali

    Nauliza ile mechi ya Ukonga Kings na JKT nani alishinda. Nilianga quarters 2 tu ya 1 ikawa 22 kwa 22 na ya pili ikawa 48 kwa 48!
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Mwakinyo: Je, ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?

    Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana". Haya Mwakinyo nijibu haya maswali; 1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza? 2. Promoter wako hakuweza kufanya mchakato wa kukutafutia vifaa kazi baada ya kupoteza vifaa vyako? 3. Hivyo viatu...
  13. Mademoiselle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume naombeni mnijibu hili swali kwa mitazamo yenu

    Good Sunday to everyone. Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada. Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere. Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu...
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jaji amuumbua Raila Odinga kwa swali gumu

    Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo na kuonekana kusoma matokeo kwenye Tv ila baada ya kuona Raila anashindwa wakasema hawayatambui?
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Sensa swali hili ni muhimu sana kuliko swali la kufa, lakini mmelikwepa

    Moja ya mambo muhimu sana kwenye nchi wakati wa sensa ni serikali kujua wananchi wake wanakula milo mingapi kwa siku, nilitumai nitaulizwa lakini nikaulizwa kama nina tatizo la kiafya! Ni vipi unamuuliza hali ya afya yake mtu ambaye hata kupata mlo mmoja kwa siku hana uhakika! Bahati mbaya...
  16. aleesha

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Muungano Tanganyika na Zanzibar

    Kesho ni siku ambayo, kesi ya Madai ya Uhalali wa Muungano iliyofunguliwa na Wazanzibari wapatao 40,000 itasikilizwa. Waswahili wana maneno yao wanasema "Bora kua na adui alieelimika utanufaika, kuliko kua na Swahib mjinga". Msemo huu unaakisi hasa dhana ya Uswahib wa Zanzibar na Tanganyika...
  17. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania Swali langu la leo!

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa la Habari na hoja mbalimbali. Leo hii ninapenda kuwashirikisha jambo mojawapo ambalo limekuwa likitukwamisha katika maeneo mbalimbali hususani katika masuala ya madili/fursa. Je! Ni kwanii watu wengi hupenda kupuuzia fursa mbalimbali zinazojitokeza kwa...
  18. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Swali korofi: Hii ni sensa au siasa?

    Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa. Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Makarani wa Sensa, mbona hili Swali limekaa Kibinafsi na Kiuchokozi zaidi?

    Je, unatumia Choo cha Shimo au cha Kuflashi? Hili linahusikaje na idadi ya Watu tunaohesabiwa? Tunakoelekea mtakuja Kutuuliza huwa tunaenda haja kubwa mara ngapi kwa Siku na ya aina gani pia.
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Ummy Mwalimu jibu swali hili kabla ya kesho mimi kuhamia Burundi

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga...
Back
Top Bottom