Tukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu.
Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki?
Kuna kipindi...
Et Baba wa nyumba...
Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.
Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu...
Wanaume wachepukaji nina swali
Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wake zenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu? Wake zenu wanaingiaje hapo
Kuna shida kidogo nimeigunduwa hii leo, kitaaluma hakuna daktari mbobezi wa mgonjwa yote, Sasa napata mashaka juu ya huyu Dr. William.
Kwanza nilimtambuwa kama Medical doctor, lakini siku zinavyokwenda anazidi kuvaa uhusika mbalimbali kwamba yeye ni Sangoma, yeye ni Astrologist na blah blah...
Wanaume je kati ya Hawa mnapenda Kwa moyo nani.
Mrefu mwembamba ,
Mrefu mweupe mwembamba
Mweusi mrefu mwembamba
Au saizi ya kati mweupe mwembamba
Saizi ya kati mnene mwenye shepu mweupe
Au mweupe mfupi mnene au mweusi mfupi mweupe mwembamba , au mfupi mweupe mnene , ?? Ugonjwa uko wapi...
Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao.
SWALI:
Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake wa awamu iliyo pita [ awamu ya tano ] au tatizo ni CCM yote ?
KARIBUNI
TRA tunawatambua mnakusanya kodi. Mifumo imebadilika mkaanzisha mashine zinazotumia mtandao kupata makusanyo siyo kwa kutumia kitabu tena ambayo ni EFD.
Kuwa na TIN ni lazima unapotoa risiti au kununua. Sasa kwa wafanyabiashara wanapofanya manunuzi ya mizigo lazima wapate risiti ya manunuzi...
Peace,
Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa ningependa kupata rejea za maandiko najua jambo hili limeelezwa vyema katika vitabu vya dini hasa Uislamu.
Naona kodi mtakuwa mnalipa kwa kutumia vyeti pamoja na report cards au sio?!....kwanza speaking of kodi, kuna michongo gani short term ambazo zinaweza kuboost balance ya mpunga kidogo? Mkataba wangu sio poa, january wenzangu wanapambana sasa zamu yangu imefika...ewaaa!
Wasalaam JF
Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki.
Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga...
Hellow people
Kwenu wanaume na kwa wanawake wanaojua
Nahitaji kujua,ukifanya mapenzi na mwanaume akamwaga bao la kwanza akaunga bao la pili na la tatu non stop zaidi ya dakika 40 (bila kuchomoa em bii oo kwenye k) kitaalamu ina maana gani?
Ipo siku pia nilikutana nae tukaandaana baada ya...
Zamani wakati ni mapyamapya kisukari na presha yalisemwa kuwa ni magonjwa ya matajiri. Je hilo limebadilika au kutokana na ukwasi wa watu binafsi kuongezeka. Na utajiri umekuwa kitu cha kawaida ndio maana sasa hivi tunasema ni magonjwa ya watu wote hata wa kawaida.
Tuliweke sawa hili jambo...
Zamani iliaminika kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo. Baadaye zikaja stori za Helicobacter pyrori kidudu ambacho kipo kwa karibia 80% ya watu.
Ipo hivi; Kidonda chochote ukiumia inatakiwa upone.
Kiasili kiumbe huwa anapona pale anapokuwa mazingira ya kupumzika. Resting.
Je ndugu...
Kwa wale wakenya, wapenzi wa movie , Je Dj Afro bado anaendelea na kazi ya kutafsiri. Je ana movie mpya za 2022. Je sehemu gani Nairobi , nitakapoweza kupata CD zake ?
Mambo zenu vichaa wetu wanaume jf.
Sasa swali ni hili katika kupewa mechi za kirafiki maana wengi humu ni hamna hela ???
Mnapoonewa huruma ni wapi mnaenjoy mwanadada mwenye umri mdogo au mwanadada aliyekula chumvi nyingi??
Hebu toeni ushahidi hapa mzabzab
Kwa heshima kuu napenda kuwashauri ndugu zetu waliokimbia nchi warejee nchini kwani chini ya uongozi Wa mama Samia nchi ni shwari na salama.
Nakuomba mheshimiwa Tundu Lisu na Godbless Lema rudini nchini tuijenge nchi yetu.
Chini ya uongozi wa Rais Samia Tanzania nikinara cha Amani barani...
Swali lenyewe ni hili, kama huyo mdada unae-date naye angekuepo kwenye nafasi ya kutoa msaada uliyo nayo wewe, huyo mdada angekupa huo msaada?
Mfano umempa mwanamke unae-date naye smartphone ya laki 3, je yeye angekuwa na uwezo na pesa za kutosha, hlf ninyi ni wapenzi, huyo mdada angekununulia...
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "
Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.
Katika Biblia...
Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje? KUNA gharama iliyotumika...mtaambiwa mamilioni ya shilingi yalitumika kuzamisha mawe yasiyoonekana...na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.