Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika

Tuliza kicha tafakari hili swali

Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya miaka 100 waarabu wangerudi kwenye ardhi yao ya Mecca, Je waisreal wangewakatalia kwamba hio sio ardhi yao kwasababu wameishi miaka 100 na wana hati za ardhi walizouziwa na wagiriki ?
 
Kanaani ndio nchi waliyopewa wayahudi, waisrael na Mungu wao baada ya kutoka Misri.

Kabla hawajaingia ktk ile nchi, wakiongozwa na Yoshua mwana wa nuni baada ya Musa kufa. Mungu aliwaambia wana wa Israel, mtakapoingia ktk hiyo nchi, waangamizeni wenyeji wote.

Wana wa Israel wakaacha wakanaani na wengine pia. Mungu alikasirika, akawaambia wana wa Israel, hayo mataifa mliyoacha kuyaangamiza yote. Hakika yatakuwa kama mwiba ktk maisha yenu yote.

Palestina ni kama mwiba ktk maisha yote ya Taifa la Israel, na hiyo ni nchi halali kabisa ya Israel sababu Baba yao Ibrahim alikaa hapo na aliimiliki hata.

Baada ya Ibrahim kufa, wakaja watu wengine kuishi hapo, hiko ndicho kipindi cha wana wa Israel walipokuwa utumwani kwa miaka 430 nchini Misri.
 
Wakazi wa palestine mamia au maelfu ya miaka kabla baba wa waisraeli nabii yaaqub alayhi ssalaam ambaye ndiye israeli mwenyewe hajazaliwa ni waarabu wa makabila ya wakanaani, lakini hii sio hoja kuu ila waliotangulia hapo ni waarabu na ndio wakazi wa asili.

Ama waisraeli walikuja kupewa amri ya kuingia hapo ardhi takatifu baadae na wakakaidi na yakatokea mengi mpaka yushaa mwana wa nuuni alayhi ssalaam alipokuja kuwaingiza na wakakosea tena masharti mamia ya miaka baadae na wakatolewa tena na watazurura na kugombania ardhi mpaka siku ya qiyamah.
 
Kanaani ndio nchi waliyopewa wayahudi, waisrael na Mungu wao baada ya kutoka Misri.

Kabla hawajaingia ktk ile nchi, wakiongozwa na Yoshua mwana wa nuni baada ya Musa kufa. Mungu aliwaambia wana wa Israel, mtakapoingia ktk hiyo nchi, waangamizeni wenyeji wote.

Wana wa Israel wakaacha wakanaani na wengine pia. Mungu alikasirika, akawaambia wana wa Israel, hayo mataifa mliyoacha kuyaangamiza yote. Hakika yatakuwa kama mwiba ktk maisha yenu yote.

Palestina ni kama mwiba ktk maisha yote ya Taifa la Israel, na hiyo ni nchi halali kabisa ya Israel sababu Baba yao Ibrahim alikaa hapo na aliimiliki hata.

Baada ya Ibrahim kufa, wakaja watu wengine kuishi hapo, hiko ndicho kipindi cha wana wa Israel walipokuwa utumwani kwa miaka 430 nchini Misri.
Kwa misingi hiyo Wahindu wakisema kwa mujibu wa vitabu vyao vya kidini mungu wao amewaambia Tanzania ni nchi yao ya ahadi watanzania wote kuanzia sasa hamna haki na nchi yenu wewe utakubali kuondoka kwenye hii ardhi na kumuachia Mhindu hii nchi?
 
Tuliza kicha tafakari hili swali

Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya miaka 100 waarabu wangerudi kwenye ardhi yao ya Mecca, Je waisreal wangewakatalia kwamba hio sio ardhi yao kwasababu wameishi miaka 100 na wana hati za ardhi walizouziwa na wagiriki ?
🙄🙄🙄🙄🙄

What a waste of time
 
Kanaani ndio nchi waliyopewa wayahudi, waisrael na Mungu wao baada ya kutoka Misri.

Kabla hawajaingia ktk ile nchi, wakiongozwa na Yoshua mwana wa nuni baada ya Musa kufa. Mungu aliwaambia wana wa Israel, mtakapoingia ktk hiyo nchi, waangamizeni wenyeji wote.

Wana wa Israel wakaacha wakanaani na wengine pia. Mungu alikasirika, akawaambia wana wa Israel, hayo mataifa mliyoacha kuyaangamiza yote. Hakika yatakuwa kama mwiba ktk maisha yenu yote.

Palestina ni kama mwiba ktk maisha yote ya Taifa la Israel, na hiyo ni nchi halali kabisa ya Israel sababu Baba yao Ibrahim alikaa hapo na aliimiliki hata.

Baada ya Ibrahim kufa, wakaja watu wengine kuishi hapo, hiko ndicho kipindi cha wana wa Israel walipokuwa utumwani kwa miaka 430 nchini Misri.
Israel ni miongoni mwa Ancestor countries, kaka zake ni akina Mesopotamia, Misri etc na wakazi wake ni hao hao hadi leo. Babylon, Kemit, Mesopotamia etc ndiyo Nchi zenye haki ya kuhoji uhalali wa Israel na mipaka yake. Wakazi wa hizo nchi wangelikuwepo na wakwanza challenge uhalali wa Israel watakuwa na hoja ya msingi si Nchi kama Tanzania ambayo ina miaka 60 na Ushee et inahoji uhalali wa taifa la Israel wakati Israel ime-exit karibia na zama za dinosaur(joke).

Ingelikuwa ni Binadamu, tungeliomba Israel iachwa ipumzike maana imepitia mengi kuliko taifa lolote lile.
Israel ni Babu wa kingdoms za kale zaidi, Inasikitisha kuikosea adabu.
 
Kanaani ndio nchi waliyopewa wayahudi, waisrael na Mungu wao baada ya kutoka Misri.

Kabla hawajaingia ktk ile nchi, wakiongozwa na Yoshua mwana wa nuni baada ya Musa kufa. Mungu aliwaambia wana wa Israel, mtakapoingia ktk hiyo nchi, waangamizeni wenyeji wote.

Wana wa Israel wakaacha wakanaani na wengine pia. Mungu alikasirika, akawaambia wana wa Israel, hayo mataifa mliyoacha kuyaangamiza yote. Hakika yatakuwa kama mwiba ktk maisha yenu yote.

Palestina ni kama mwiba ktk maisha yote ya Taifa la Israel, na hiyo ni nchi halali kabisa ya Israel sababu Baba yao Ibrahim alikaa hapo na aliimiliki hata.

Baada ya Ibrahim kufa, wakaja watu wengine kuishi hapo, hiko ndicho kipindi cha wana wa Israel walipokuwa utumwani kwa miaka 430 nchini Misri.
All this crap is according to what evidence!?
 
Wengi ni wafia dini ya mudi,wanajitia uchizi ila ukweli upo wazi na historia ipo wazi kabisa.
Ukifuata historia utajichanganya kwenye mengi.

Na ikiwa hiyo ndiyo mizani yako hata hii Tanzania itapasuliwe vipande kwa sababu hata kabla ya Bartolomeu Dias kuja kwenye huu ukanda hii nchi ambayo kwa sasa inaitwa Tanzania sehemu ya hii nchi ilikuwa ni sehemu ya dola za tawala nyengine.
 
.
20230426_171709.jpg
 
Kanaani ndio nchi waliyopewa wayahudi, waisrael na Mungu wao baada ya kutoka Misri.

Kabla hawajaingia ktk ile nchi, wakiongozwa na Yoshua mwana wa nuni baada ya Musa kufa. Mungu aliwaambia wana wa Israel, mtakapoingia ktk hiyo nchi, waangamizeni wenyeji wote.

Wana wa Israel wakaacha wakanaani na wengine pia. Mungu alikasirika, akawaambia wana wa Israel, hayo mataifa mliyoacha kuyaangamiza yote. Hakika yatakuwa kama mwiba ktk maisha yenu yote.

Palestina ni kama mwiba ktk maisha yote ya Taifa la Israel, na hiyo ni nchi halali kabisa ya Israel sababu Baba yao Ibrahim alikaa hapo na aliimiliki hata.

Baada ya Ibrahim kufa, wakaja watu wengine kuishi hapo, hiko ndicho kipindi cha wana wa Israel walipokuwa utumwani kwa miaka 430 nchini Misri.
Hua nikisoma maandiko Kama haya, ninaishia kucheka yaani MUNGU awaruhusu, waisraeli kuangamiza mataifa mengine bila sababu.

Hivi vitabu msipende kuvisoma kwa kuongozwa na hisia, sababu kina mapungufu mengi sana.
 
Back
Top Bottom