simu

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Simu za rununu huongeza hatari ya kupata Saratani hasa kwa Watoto na Vijana Duniani

    Imeripotiwa kuwa mawimbi ya umeme yanaweza kuongeza hatari ya saratani, haswa kwa watoto na vijana. Kila mwaka, zaidi ya watoto 400,000 na vijana chini ya umri wa miaka 20 hugunduliwa na saratani ulimwenguni. Kiwango cha kuishi kwa watoto walio na saratani kinashuka kutoka karibu asilimia 80...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta duka linalo uza simu iphone smart phone

    Natafuta duka linalo uza simu iphone smart phone. Dar es salaam. Simu nzuri original
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania TCRA wajifunze kwa Waingereza, kampuni ya simu yalambwa bilioni 33 kwa kuwaongezea gharama wateja

    Pamoja na agizo la waziri mwenye dhamana ya mawasiliano kuitaka mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano nchini(TCRA) kudhibiti gharama za mawasiliano bado wameonekana kugonga mwamba huku kampuni za simu zikiweka pamba masikioni. Uingereza sehemu kubwa ya gharama ya mawasiliano ni kwa bili na moja ya...
  4. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza ipata simu ya Redmni Pocco m3 hapa Tanzania?

    Nina shida ya hiyo hapo juu ya njano yenye internal 128gb! Wapi nitaipata hapa bongo ni kwa shs ngapi?
  5. N

    JamiiForums Tanzania TP Mazembe watuhumiwa kuiba simu za Waalgeria

    Zim Diaspora Sports Connect TEAM YA ALGERIA CR Belouizdad ambayo juzi imetoa droona mazembe imelaumu kuibiwa vitu vyao zikiwemo simu za mkononi,ikumbukwe mazembe mwaka 2019 waliumiwa kuweka sumu na timu ay tunisa iitwayo club afriacain wakshinda 8-0..najiuliza sana haya yote yangetokea tanzania...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naomba namba za mbunifu wa machine ya umeme wa sumaku wa Kawe Dar es Salaam

    Kama kuna mtu humu aliye na mawasiliano ya mbunifu wa machine ya kuzalisha umeme inayotumia mfumo wa sumaku, Tafadhali anisaidie.
  7. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Simu imezingua camera

    Habarini ndugu asubuhi nimeamka nikachonga na mshkaji mmoja anailekebishie PC yangu kioo kimezngua kidogo akasema nimtumie picha ya laptop nikachukua simu nakufungua camera ikawa ipo kwenye flash inawaka nikapiga picha ikakubali nika skip camera ajabu bado flash ipo on nikafanya ujanja pale olaa...
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, wakikaa na simu wanaperuzi tu

    Kutoka Dodoma. "Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, ambao wakikaa na simu wanaperuzi mitandaoni tu". "Nafikiri labda tuongeze kodi labda itapunguza hata sijui, hivi tufanye kitu gani ili tuhakikishe kila mtu anafanya kazi, maafisa maendeleo ya jamii hawafanyi kazi" -Job Ndugai. Nini...
  9. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yaweke huduma ya kufuta meseji zilizokosewa

    Napendekeza makapuni ya simu yaweke huduma ya kufuta ujumbe wa meseji (text) zilizokosewa; mfano ndani ya sekunde 15 au pengine kabla haujasomwa. Nimependekeza hivi baada ya kuona watu wanavyo pata wakati mgumu pale wametuma meseji kwa makosa; mf: Mtu huweza kukosea na kumtumia bosi wake...
  10. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Naweza pata simu dukani kwa bajeti ya 200k?

    Iwe samsung, Tecno, Sony, Nokia kwa hizi brand yenye camera wauzaji mnicheki humu 0620314884
  11. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

    Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda. Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake. Badala yake watoto...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Cheka kidogo na simu ya Utopolo

    *Mazungumzo kati ya injinia hersi na tp mazembe*manager Injinia: habari mkuu Tp: salama Injinia:mkuu naomba game ya kirafiki Tp: Wewe ni nan Injinia; mkurugenz wa gsm Tp: gsm ni timu gan Injinia : sio timu mkuu bali kampuni ya kutengeneza nagodoro Tp: kwahyo unataka tucheze na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa simu kufuta majina

    Simu inafuta majina (saved names). Je, hii inasababishwa na nini?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kama ni hivyo, susieni na Simu na Dreamliner maana huwezi jua wameweka nini!

    Hatuna imani na wazungu! Ni wauaji inavyoelekea. Basi kama ni hivyo tususie kila kitu. 1. Hizi simu almost 90%(stand to be corrected) watanzania tunazitumia. Si ajabu wameweka mionzi ya kuua brain after some yrs wote tunakuwa na kansa ya ubongo 2. Mandege yao yanawezekana yamewekwa mionzi...
  15. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata file la "Trash" kwenye simu yangu Tecno f1

    Wakulungwa habari ya muda huu, simu yangu kila nikifuta kitu inaleta disappearing notification "item moved to trash", awali nilidhani mizigo ndio inakuwa deleted for good sasa leo nadelete baadhi ya items inasema "trash full. If you delete these items you delete them permanently" hapo ndo...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hata wakati zinaingia simu janja (smartphone) tuliaminishana ujinga kwamba ni za mpinga Kristo, zinanyonya damu na kuleta kansa ya vidole

    Wachungaji ni walewale, wadau ni walewale, wenye midomo ya kusemea wenzao! Niliwahi kusema hapa! Na narudia tena Tatizo la Watanzania tukiwa maarufu au viongozi au wachungaji ni kujidai tunajua kila kitu! Kiongozi wa siasa ndiye msemaji wa afya, kiongozi wa siasa ndiye mshauri wa ujenzi...
  17. Pongo Pongo

    JamiiForums Tanzania Simu na aina zote za komputa zina athari gani kiafya?

    Habari za wakati huu. Samahanini kwa usumbufu wapendwa. Leo nahitaji kufahamu athari za kulala karibu na simu wakati wa usiku. Mara kadhaa nimekuwa nikijisahau na kulala na simu karibu yangu, haya yafuatayo yamekuwa yakiniumiza kila ninapoamka. Kwa nini unapoamka asubuhi unajisikia kuchoka sana...
  18. johnsold

    JamiiForums Tanzania Ni utaratibu gani wa kufuata kufungua biashara ya uwakala wa huduma za kifedha kwa simu?

    Wadau nataka kufungua ofisi ya uwakala wa huduma za kifedha za simu. Sasa sijui utaratibu unakuwaje ili kufanikisha jambo langu. Mwenye ujuzi naomba msaada hapo
  19. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Pagasus Spy - Zero Click softaware ya Waisrael inayotumiwa na mataifa makubwa kuhack simu yoyote

    Kampuni ya Israel inayoitwa NSO Group, iliunda program inayojulikana kama Pegasus (Zero Click). Hii software kwa madai ya kampuni hiyo hawauzi kwa watu binafsi ila ni kwa ajili ya serikali za nchi mbalimbali na ni kwa pesa ndefu na inakuwa na limitation ya muda lets say miezi sita ukitaka...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna simu inayoweza ku-operate kwa mfumo wa PC au Komputa

    Wakuu nauliza na pia nataka kujua kama kuna simu inayo-operate au kufanya kazi kama kompyuta inavyofanya kazi, Hapa nazungumzia jinsi upangaji wa mafaili unavyofanyika katika kompyuta na je simu pia inaweza kufanya kama vile kompyuta inafanya Na pia jinsi kompyuta inavyofanya kazi kama multi...
Back
Top Bottom