Mitandao ya simu bado wamegoma kurudisha vifurushi vya zamani, DG TCRA nadhani nawe hapo hapakutoshi, ukimzingua atakuzingua

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,333
2,000
Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote.
Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,094
2,000
Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote.
Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
Bi mkubwa ana kazi kubwa sana mbeleni
 
Bulamba

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
11,681
2,000
Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote.
Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
Fyekelea mbali woote hao
 
vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
724
500
asipokuwa mkali kidogo watamzingua na kumchezea. YEYE AFANYE KIMYA KIMYA, ANATOA AGIZO HUJATEKELEZA, MSIDWA ANATOKA NA TANZAGAZO LA KUTENGUA, BILA KELEL KAMA JIWE. WATASHTUKA
Naunga mkono wazo ulilotoa. Hakuna haja ya kupiga kelele. Atengue uteuzi wao kwa kushtukiza. Kimya kimya
 
fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
2,113
2,000
Nafikiri mlijisahau mkatamani enzi za JK zirudi Kila mtu kambare Ana masharubu,Sasa huu Ni mwanzo tu yajayo yanafurahisha.
Ukali wa JPM kwa watendaji na watu binafsi kuigomea serikali ndo alikua hataki Sasa,Vifurushi nimeambiwa vishuke Ila hakuna mwenye habari Zaid ya sound za kurekebisha mtandao tu.
Watafanywa nn wakati CHUMA kimeshasepa!!

Tanzania always hawajuagi wanachokitaka na vipao mbele vyao Ni nn
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom