Kampuni ya LG yasitisha uzalishaji wa simu janja

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kampuni ya LG Electronics leo imesema itafunga Biashara yake ya utengenezaji wa simu janja ambayo kwa takriban miaka sita imepata hasara inayofikia Dola za Marekani Bilioni 4.5

Kampuni hiyo ya Korea Kusini ambayo mwaka 2013 ilitajwa kuwa Kampuni kubwa ya tatu kwa utengenezaji wa simu janja imesema ushindani wa soko umekuwa mgumu

Kwa mujibu wa taarifa ya LG, uamuzi wa kuachana na sekta hiyo utawezesha Kampuni kuelekeza rasilimali kwenye maeneo mengine yenye ukuaji yakiwemo 'Smart Homes' na 'Artificial Intelligence"

=====

LG Electronics said on Monday it would close down its loss-making smartphone business.

In January, the South Korean electronics giant said it was looking at all options for the division after almost six years of losses totalling around $4.5bn (£3.3bn).

LG had made many innovations including ultra-wide angle cameras, rising to third largest smartphone maker in 2013.

But bosses said the mobile phone market had become "incredibly competitive".

While Samsung and Apple are the two biggest players in the smartphone market, LG has suffered from its own hardware and software issues.

As LG struggled with losses it had held talks to sell part of the business but these fell through.

It still ranks as the third most popular brand in North America but has slipped in other markets. LG phones are still fairly common in its domestic South Korean market.

"LG's strategic decision to exit the incredibly competitive mobile phone sector will enable the company to focus resources in growth areas such as electric vehicle components, connected devices, smart homes, robotics, artificial intelligence and business-to-business solutions, as well as platforms and services," it said in a statement.

Last year it shipped 23 million phones, which compares with 256 million for Samsung, according to research firm Counterpoint.

The smartphone business is the smallest of LG's five divisions, accounting for just 7.4% of revenue. Currently its global mobile phone market share is about 2%.

It has been innovating its phones to compete with its bigger rivals, with last year's launch of the T-shaped Wing, a smartphone with a larger screen which swivels out to reveal a second, smaller one underneath.

Electric cars and TVs

LG still has a strong consumer electronics business, particularly with home appliances and televisions. LG is the world's second best-selling TV brand after Samsung.

And last year it launched a joint venture with automotive supplier Magna International that will make key components for electric cars.

LG's phone inventory will continue to be available for sale, and it will still provide service support and software updates for existing customers. The divisions is expected to be wound down by the end of July.

"Moving forward, LG will continue to leverage its mobile expertise and develop mobility-related technologies such as 6G to help further strengthen competitiveness in other business areas," a spokesman added.

Analysts said South Korean rival Samsung and Chinese companies such as Oppo, Vivo and Xiaomi are likely to benefit the most from LG's exit.

Other well-known mobile brands such as Nokia, HTC and Blackberry have also struggled with sales but have yet to disappear completely.

CAF87206-5426-4681-A247-93496B906334.jpeg
 
Nimetumia LG G4 ilikua nzuri kiasi chake.. sema ina matatizo hio unaweza kupata presha.
 
Kuna wengine wapo kibishi tuu ila soon nao watarudisha mpira kwa kipa.

Sony, HTC, lenovo, Panasonic, Motorola, Nokia...

Kama umechunguza pia Tecno huyu wa leo sio yule wa miaka 5 iliyopita, hizi brand nyingine za kichina zinamsumbua sana, Itel ndio huyooooo
 
Kuna wengine wapo kibishi tuu ila soon nao watarudisha mpira kwa kipa.

Sony, HTC, lenovo, Panasonic, Motorola, Nokia...

Kama umechunguza pia Tecno huyu wa leo sio yule wa miama 5 iliyopita, hizi brand nyingine za kichina zinamsumbua sana, Itel ndio huyooooo
LG ana uwekezaji mkubwa duniani infact ni multbillions dolars projects, hivyo hawezi kukubali total loss... Tayari mpaka kutoa hili tangazo ameshakua na plan B
Anachotaka ni legacy ya LG ibaki halafu aje na brand mpya inayoendana na dunia ya mwendokasi.. Disposable products
 
LG jikiteni kwenye electric appliances.

Nina Fridge lenu la kisasa, kwa kweli hambahatishi kwenye hii sekta ila simu mlichemka muda mrefu. Bahti mbaya sikuwahi kuonja ladha yenu kwenye simu.

Makampuni mapya ya kichina yamewapiga bao mmezubaa tu, oppo, huawei, honor, xiaomi, na kadhalika mkezubaa tu.

Hata poor quality tecno amewaatoa sokoni kwenye low end divices.

Mpumzike kwa amani.
 
LG ana uwekezaji mkubwa duniani infact ni multbillions dolars projects, hivyo hawezi kukubali total loss... Tayari mpaka kutoa hili tangazo ameshakua na plan B
Anachotaka ni legacy ya LG ibaki halafu aje na brand mpya inayoendana na dunia ya mwendokasi.. Disposable products
Yees na ukianglia kuna kampuni ving'ang'anizi ila zimechoka zaidi ya huyo LG, ila kama ulivyosema yeye hataki kupoteza heshima,
Angalia Nokia alivyo Hopeless leo hii, kajaribu Kutumia Android wapi, Kashusha bei za simu zake wapi, Ikafika hatua Anatengeneza Simu mpya kwa miundo ya zamani na majina ya kale akijua atarudi nako holaa,
Hii ni brand ambayo ulikua huwezi isimamisha na Apple wala samsung, leo hii humsimamishi hata na Oppo.

Hakuna kampuni iliyoniuma kupotea kama hii, Hapa nazungumzia Original Nokia iliyokufa 2011 sio hili li HMD Global lililowekeza kwenye historia ya Nokia.
 
Yees na ukianglia kuna kampuni ving'ang'anizi ila zimechoka zaidi ya huyo LG, ila kama ulivyosema yeye hataki kupoteza heshima,
Angalia Nokia alivyo Hopeless leo hii, kajaribu Kutumia Android wapi, Kashusha bei za simu zake wapi, Ikafika hatua Anatengeneza Simu mpya kwa miundo ya zamani na majina ya kale akijua atarudi nako holaa,
Hii ni brand ambayo ulikua huwezi isimamisha na Apple wala samsung, leo hii humsimamishi hata na Oppo.

Hakuna kampuni iliyoniuma kupotea kama hii, Hapa nazungumzia Original Nokia iliyokufa 2011 sio hili li HMD Global lililowekeza kwenye historia ya Nokia.
Yeah sahihi kabisa Nokia kashauriwa vibaya... Hiki sio kizazi cha enzi za old brands.. Kina Phillips wote wameamua ku mute...
Nina shida kubwa na mchina anaenda kuishika dunia pabaya sana
 
LG walikua katika wakati mgumu sana. Market ya US imetekwa na Samsung and Apple ambao wanasimu bora zaidi kuliko LG. Korea nyumbani kwao wanapigwa na Samsung. Globally nako Chinese brands ndio zimeenea tena kwa bei rahisi. Nilishasemaga, Samsung waliliona hili mda sana wakaleta A series kupambana na wachina huku wakitumia jina lao na bado wakawa na flagship phones kupambana na Apple.

Nokia now ipo chini ya HMD Global na wao wamefocus na budget phones hizi ndio mkombozi. Motorola chini ya Lenovo pia ina focus na budget phones. Watu sikuhz wananunua sana budget phones kuliko flagship. Sony na HTC wasipoangalia wanafata
 
LG, nendeni kwa amani, upande wa simu mshachemka lakini on other appliances, mko vizuri tu sana. Tulieni huko huko kwa home appliances.
 
Kampuni ya LG imetangaza kusitisha utengenezaji na biashara ya simu za mkononi kutokana na ushindani mkubwa sokoni sambamba na kushindwa kutengeneza faida.

LG wamekuwa kwenye biashara ya uzalishaji wa simu za mkononi kwa takribani miaka 20.

 
Back
Top Bottom