Taliban ambao wanaendelea kuiongoza Afghanistan wameweka sheria kali za matumizi ya simu kwa watu wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ambapo huduma ya simu itapatikana kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa tisa mchana.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Wataliban kujua kuwa simu hutumika...
Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni Kuwalaumu tu Wahadhiri Wenu na Kusingizia kuwa Masomo ni magumu.
Asanteni sana Wahadhiri wa Somo la Uchumi...
Chama cha Mapinduzi wanafanana sana na Vodacom, wanaweza kukuibia kifurushi chako hivihivi ukiangalia. Hakika wao ni chama kubwa, wenye sera nzuri lakini zilizopo kwenye makaratasi, ambazo hawajaweza zitekeleza hata kwa asilimia 10 toka tupate Uhuru. CCM wamejisahau, ila wajifunze kwa Nokia...
Habari wadau wa humu jukwaani.
Nina swali kuhusu simu ya Infinix. Kuna mdau anatumia simu ya Infinix sina uhakika sana kama ni note 8 au ila ni toleo la zamani kidogo. Aliniambia kwenye Gallery yake kuna Private folder la picha,anadai amesahau Password na akitaka pia kulifuta hawezi.
Sasa...
Wakuu hizi sms Mzee flani ni mganga maarufu, atakupa utajiri wa freemason, mara utajiri wa ndagu nk. sasa zimetawala sana, na hizi zingine za umeshinda milioni 700000000, piga Simu 0000 ili upate zawadi zako.
Au unapigiwa simu na litapeli likisema Kuna Hela imetumwa kwako kimakosa.
Simu zote...
Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
Moja ya faragha kubwa y mtu ni simu, inavitu vingi ambavyo ni personal zaidi
lakini kwa namna flani unaweza kuta ume access simu ya mtu anaweza kuwa mke jirani,rafiki, je uliwahi kuona nni cha kushangaza
Mm kipind nipo o level kuna mdada wa chuo alikuwa analeta kisimu( tecno button)nmchajie...
Binafsi nakerwa sana na watu wenye "line" lukuki za simu. Unakuta mtu ana line ya voda, tigo, airtel, zantel nk. Zote izo za kazi gani?? Matokeo yake kila ukimtafuta mtu utasikia mara..
"Nicheki kwenye airtel hiyo Voda haina chaji.."
"Nipigie namba ya tiGo, airtel nimeacha nyumbani"
"Hela...
Huyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni.
Mimi nikamwambia kwa muda huu huwezi kupata gari. Akaonekana kuwa mnyonge sana. Kama mnavojua...
Wakuu habar za uzima najua tupo kwenye pilika pilika kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu. Nilikua naombeni msaada wa kisheria kwenye ufundi simu upande wa software je kuremove password kwenye simu ni kosa kisheria?
Na kipi ukifanya ni kosa na kipi so kosa wakuu. Ngoja niwape kisa...
Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba na namba ya nida?
.....Naomba kuwasilisha.
HABAR WADAU
Mambo ni mengi mda ni mchache ni ngumu kwa binadamu mmoja kupata taarifa zote so usishangae kuna offer tamu sana yenye discount ya kutisha ikakupitia hvhv ndio mana nimefungua uzi huu ili wadau tupeane habar simu gan kali zina discount nzuri za samsung kipind hiki cha sikukuu...
Wafanya kazi wa usafi wa vyumba wanatakiwa kwenye Hoteli ya Lahe.Maombi kuanzia tarehe 21.12.2021 hadi 15.1.2022. Tafadhali omba kwa namba 0754290084 au 0655290084.
wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
Habari wana JF!
Hizo ni baadhi ya picha nilizopiga mimi mwenyewe katika mikoa mbali mbali hapa Tanzania na ninazozipenda wakati wote na zinafaa kwa wallpepar nasuburi uzi wenu wana JF
Thank you🙏
photography17
Habar wadau najua humu kuna watu BIGGER THINKER mtanishauri vyema jana ndo nimeamini dunian hakuna haki dunia hii ione hvhv tambala bovu duh !!!! namshukuru mungu sikuumia sana japo nilipata uvimbe sehemu ya taya kwa nje kwenye shavu hii ni baada ya kupigwa na chupa nne za kichwa duh haya maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.