Nimeibiwa simu na mwanamke leo asubuhi

Nimeibiwa simu na mwanamke leo asubuhi

Kipunga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2021
Posts
265
Reaction score
601
Huyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni.

Mimi nikamwambia kwa muda huu huwezi kupata gari. Akaonekana kuwa mnyonge sana. Kama mnavojua ujana, nikaona mbuzi kafia kwa muuza supu nikamwambia kama vipi twende kwangu ulale kesho uendelee na safari. Kweli akakubali tukaenda home usiku nikapiga shoo bila kutongoza kesho yake asubuhi akasepa ila tukaendelea kuwatunawasiliana.

Sasa jana asubuhi akanicheki akanambia kaja kwa sister wake mitaa ya Nyegezi tukakubaliana jioni au usiku atakuja kunitembelea. Kweli mida ya saa 3 usiku akawa amefika kitaa nikaenda kumchukua

Usiku tumelala fresh, sasa asubuhi nilikuwa na miadi ya kwenda Nyegezi stendi kutuma mzigo fulani nikawa nimemwambia akanambia freshi nitamkuta. Nikawa nimemwacha room pia ninaishi na dogo wa kiume naye yupo room kwake nikawa nimesepa.

Aiseee kuja kurudi binti hayupo na niliacha simu moja aina ya infinix kwenye charge nayo haipo.

Daah! Imeniuma sana sikutegemea
 
Nimempigia cm nimemuwakia sana cha ajabu hana wasiwasi anasema hajachukua ila alipata dharula akaondoka na hapa ananitumia sms za kunilaumu mim kumuita mwizi ila kuna sister jirani alimuona akitoka huku anakimbia.naomba ushauri wenu wakuu.bado analazimisha mawasiliano nifanyeje
 
Huyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni.

Mimi nikamwambia kwa muda huu huwezi kupata gari. Akaonekana kuwa mnyonge sana. Kama mnavojua ujana, nikaona mbuzi kafia kwa muuza supu nikamwambia kama vipi twende kwangu ulale kesho uendelee na safari. Kweli akakubali tukaenda home usiku nikapiga shoo bila kutongoza kesho yake asubuhi akasepa ila tukaendelea kuwatunawasiliana.

Sasa jana asubuhi akanicheki akanambia kaja kwa sister wake mitaa ya Nyegezi tukakubaliana jioni au usiku atakuja kunitembelea. Kweli mida ya saa 3 usiku akawa amefika kitaa nikaenda kumchukua

Usiku tumelala fresh, sasa asubuhi nilikuwa na miadi ya kwenda Nyegezi stendi kutuma mzigo fulani nikawa nimemwambia akanambia freshi nitamkuta. Nikawa nimemwacha room pia ninaishi na dogo wa kiume naye yupo room kwake nikawa nimesepa.

Aiseee kuja kurudi binti hayupo na niliacha simu moja aina ya infinix kwenye charge nayo haipo.

Daah! Imeniuma sana sikutegemea
Unapenda vitu vya chee!!
 
Back
Top Bottom