Wanafunzi wa UDSM mliopata 'Sapu' acheni kutupigia 'Kelele' zenu muwapo katika 'Dala Dala' za Ubungo SIMU 2000, Mbezi Kimara na za Makumbusho

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,663
109,058
Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni Kuwalaumu tu Wahadhiri Wenu na Kusingizia kuwa Masomo ni magumu.

Asanteni sana Wahadhiri wa Somo la Uchumi hapo UDSM kwa Kuwakamata kwa 'Sapu' hawa Wanafunzi wenu na GENTAMYCINE nawaombeni endeleeni hivyo hivyo Kuwakamata ( Kuwafelisha ) mpaka Akili ziwakae na waache kuja Kushindana nasi Baba na Kaka zao katika Kugombea Madanga ( Malaya ) Kimboka, Beach Kidimbwi, Brazil Pub na Juliana.

Jikiteni katika Taaluma ( Elimu ) Kwanza na hizi Bata na Mbunye mtazikuta tu huko mbeleni sawa? Halafu wengi Wenu nimeshawaonyeni kuwa kuna Malaya ( Madanga ) Wawili hapo Juliana wana Gitaa la Solo la Dally Kimoko hivyo msiwashobokee na Kuwabandua hamsikii na leo nilikuwa napiga nao Stori na wamesema kuwa mpaka sasa 75% ya Wanafunzi wa Kiume wa First Year hapo UDSM wamewaambukiza Gitaa hilo la Solo hivyo mkiweza Wataarifuni kabisa Wazazi / Walezi wenu kuwa mnasoma lakini muda Wowote mnaiacha hii Dunia kwa Uzembe Wenu na kupenda sana 'Dry Chama' na 'Kofia' za WHO mkiziona Kero na zinawachelewesheni Kukojoa ( Kupizi )

Wenzenu tulikuwa Wahuni ( Masela ) ila tunasongoka ( tunasoma ) kweli kweli na Kufaulu tena kwa 'Distinctions' kabisa, ila nyie ni Mabishoo halafu Vichwani mmejaza Maji ya Dawasco tupu kwanini Msifeli? Hivi kweli Somo la Uchumi ( Economics ) la First Year ni la Kufeli kweli hadi Wanafunzi zaidi ya 180 mnapata 'Sapu' kabisa?

Nina Hasira kweli nanyi Wanafunzi wa First Year ( UDSM ) kwani Baba na Kaka zenu tunatongoza Migoma ( Malaya ) kwa Mali Kauli ( Mdomo na Ahadi ) nyie Bodi ya Mikopo ( HESLB ) ikiwapa tu Pesa zenu ( Boom ) huwa mnakuja Kuwazoa na Kuwahonga kwa Fedha nyingi na Sisi Wanatutosa na kukimbilia katika Chama chetu tukuka cha CHAWAPUTA ( Chama cha Wapiga Punyeto Tanzania ) ili Kujikidhia Haja zetu za Kibaiolojia.
 
Baba mtu mzima fuatilia yako dunia pana hi walinde wanao pekee inatosha hawa wengine watakusumbua akili Sana af kuhusu Hilo la kuambukizwa ukimwi na Malaya wa Juliana hatuwezi kulikubali tunataka tuonyeshwe vipimo Kama kweli anao ndipo tuamini...hatutaki ukimwi wa keyboard au maneno tunataka wa maabara tuacheni kusingizia watu na kuchafuliana.Watu tushagonga Malaya tukaambiwa anaugua ukimwi ila miaka imepita tumepima NI wazima pamoja na kutishiwa kwingi.
 
Baba mtu mzima fuatilia yako dunia pana hi walinde wanao pekee inatosha hawa wengine watakusumbua akili Sana af kuhusu Hilo la kuambukizwa ukimwi na Malaya wa Juliana hatuwezi kulikubali tunataka tuonyeshwe vipimo Kama kweli anao ndipo tuamini...hatutaki ukimwi wa keyboard au maneno tunataka wa maabara tuacheni kusingizia watu na kuchafuliana.Watu tushagonga Malaya tukaambiwa anaugua ukimwi ila miaka imepita tumepima NI wazima pamoja na kutishiwa kwingi.
Mbona unateseka saba Wewe Simbilizi?
 
Back
Top Bottom