Swali kuhusu simu ya Infinix

Biisa

JF-Expert Member
Jan 13, 2019
513
543
Habari wadau wa humu jukwaani.

Nina swali kuhusu simu ya Infinix. Kuna mdau anatumia simu ya Infinix sina uhakika sana kama ni note 8 au ila ni toleo la zamani kidogo. Aliniambia kwenye Gallery yake kuna Private folder la picha,anadai amesahau Password na akitaka pia kulifuta hawezi.

Sasa naulizia je kuna option ya kuweza kulifungua hali ya kuwa umesahau password ?

Na je akitaka kulifuta anafanyaje ? Naomba majibu ya maswali yote mawili.

Natanguliza shukrani.
 
alipokuwa anajisajili applock aliingiza email au alijibu maswali, aende kwenye forget password ataambiwa aingize email au
ajibu swali alilochagua wakati anajisajili.

kama hakumbuki chochote ajaribu ku recover picha kama zina umuhimu, lakini za kwenye applock ni ngumu kutazipata maana
ina encrypt data.
 
Back
Top Bottom