simu

  1. Idrisa1510

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokikuta kwenye simu ya mpenzi wangu nimebaki njia panda, niendelee naye au nimuache?

    Kama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano. Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM mwaka wapili bachelor of science with Education. Walikua na rikizo ya mwezi hivi mmoja ambayo...
  2. Bismack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuumbuka kwenye simu baada ya kuongea na mtu nakusahau kukata simu

    Mi niliongea na msichana wangu mmoja tulivyomaliza kumbe sikukata nikabaki nawambia washikaji kwamba huyu msichana simpendi anajipendekeza kwanza hajui mapenzi, kumbe yeye yote aliyasikia kesho yake ilikua kizaazaa.
  3. Shunie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

    Nimuamua kushare na nyie huu ujumbe nimekutana nao sehemu ili uwe na Amani ya moyo fanya hivi; ======= Kwa wanandoa na wenye wapenzi waaminifu, uaminifu limekuwa ni jambo la msingi sana ili udumu na huyo uliyeingia naye kwenye ndoa, mjengee imani kuwa wewe ni wake na haitatokea siku...
Back
Top Bottom