simu

  1. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania Je, hii simu niliyoinunua Amazon inaweza kusoma line za huku?

    Jamani habari ndugu? Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?
  2. uran

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kupima Vinasaba (DNA) Kirahisi

    Hii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea... Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto...
  3. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu msaada

    Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu. Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo. Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu. Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwanamke ajeruhiwa kwa kukatwa mapanga kisa simu ya 24,000/=

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Lyowa Mkoani Mtwara, Josephine Boniface (30) amejeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kwenye miguu yake yote miwili na mumewe baada ya kupoteza simu ndogo (Kiswaswadu) yenye thamani ya Tsh. 24,000. Josephine anasema wakiwa kwenye sherehe za ngoma za jando na unyago...
  6. Izrael k Adam

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

    Habari zenu wadau Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii. Sasa tatizo...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
  8. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  9. Epateletech

    JamiiForums Tanzania Fundi simu anapatikana

    Hiyo link ni Display na bei zake Hiyo bei ni pamoja na ufundi Share link Epateletech epate ==== SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch zake na upande wa pili ni system charge TECNO ✓Tecno smart bei ya kubadilisha touch ni 17k ambazo...
  10. Msololi53

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Simu Samsung S8 Plus

    Baada ya kuona wadau (USAWA) hela imekuwa ngumu, nimeshusha kwa kiwango cha rami mpaka 250K Karibuni
  11. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inajazwa na meseji za kushawishiwa kubeti

    Kuna kitu ambacho sikielewi... hawa watu wa betting wanapata wapi namba yangu. Sijawahi ata mara moja kubeti lakini ntapata message Zaidi ya kumi kwa siku za kushawishiwa kubeti. Huu usumbufu wa kutojitakia unaratibiwa na nani? Naomba kufahaku jinsi ya kuwashitaki hawa watu wanaonisababishia...
  12. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Endapo nitachukua mkopo kwenye kampuni za mawasiliano na nisirejeshe, nini kitatokea?

    Naomba kujua kama nitachukua mkopo wa makampuni ya simu na kutolipa wanaweza kunitafuta na kunidai?
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

    Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho. WASIFU KUZALIWA - Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye kesi fulani ipo mbele yake

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama" Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa...
  15. Billie

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

    Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
  17. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina (Technical Explaination) ya hii flagship mpya

    Salam wakuu, Straght to the point. Juzi tarehe 8 kuna simu imekuwa launched inaitwa Realme GT2 Pro. inasemekana ni moja ya simu bora kabisa kwa mwaka huu wa twende twende tu. I could actually go to gsmarena kusoma specs zake ila naomba manguli waliobobea kwenye hizi mambo kama kina Chief-Mkwawa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Mawasiliano ya Simu Kupatikana Saa Saba Kwa Siku, Kampuni Zaamrishwa

    Taliban ambao wanaendelea kuiongoza Afghanistan wameweka sheria kali za matumizi ya simu kwa watu wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ambapo huduma ya simu itapatikana kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa tisa mchana. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Wataliban kujua kuwa simu hutumika...
  19. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Tuoneshe emoji gani unaitumia zaidi kwenye simu yako

  20. Perfectz

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Sheikh kutoa muda kwa aliyemuibia Simu infinix yake ya kisasa airejeshe vinginevyo!

Back
Top Bottom