simu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natatuaje tatizo hili kwenye simu yangu?

    Salamu wana Jf..natumai wote ni wazima,Kama Kuna mgonjwa Basi Mungu akuponye Simu yangu ni aina ya Infinix Hot 10,hii simu inazima zima Sana na ikizima huwa unachukua muda kuwaka,huwa unachukua Kama dakika 10-15 yaani mda huo inakua inaonyesha neno Infinix baada ya muda ndo inawaka Nawezaje...
  2. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Miamala kwa njia ya simu inatufilisi bila kujua

    Kusaidiana ni njia mojawapo ya Kudumisha Upendo Baina yetu sisi na watu wengine ikiwemo ndugu zetu, jamaa na Marafiki. Kukua na kuongezea kwa matumizi ya Huduma za Kifedha kwa njia ya simu imesaidia na kurahisisha kwa kiwango Kikubwa sana ndugu, jamaa na marafiki kutumiana fedha pindi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nani aniuzie simu kwa bei ya jumla

    Habari zenu wana jukwaa la Biashara. Nasafiri naenda Mbeya. Wilaya ninayokwenda hakuna maduka makubwa ya simu kama Kariakoo, ila watu wanapenda sana hizi smartphone. Sasa natafuta muuzaji wa simu ambae ataniuzia simu kwa bei nafuu (bei ya jumla). Nataka ninunue simu mbili tu kabla sijasafiri...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela. Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana. Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma? Acha tuone.
  5. MDAU JR

    JamiiForums Tanzania Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

    Habari wakuu! Tafadhali naomba Msaada kutoka Kwa yeyote ili nipate application yoyote ambayo nita install kwenye simu ili niweze kuwa Na stream live games za soccer nikiwa mbali Na tv. Hii ni nje ya Azam max, hiyo ninayo tayari. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Radi yajeruhi watu wawili wakitumia simu wakati mvua inanyesha

    Watu wawili wakazi wa Olodonyokeri, Kata ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha, wamejeruhiwa na radi wakiwa machungani na kusababisha majeraha sehemu mbalimbali za miili yao. RPC wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema chanzo cha tukio hilo ni matumizi ya simu wakati wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Nape Nnauye kwa Batuli kuhusu malalamiko ya bando la simu

    Hivi ndivyo staa wa filamu, Batuli alivyotumia ukurasa wake wa Twitter kulalamika kuhusu bando lake la simu, kisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akaingilia kati na kumpa ushauri wa kwenda TCRA. ========= Ameandika Muigizaji Batuli Hivi Kuna Mtu Mwingine...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simu Janja kupima COVID-19 Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imezindua teknolojia mpya ya kupima uwezekano wa maambukizi ya UVIKO-19, kutumia simu janja, kwa wageni wanaoingia kupitia Uwanja wa Ndege wa Amani Abeid Karume. Uzinduzi huo umeshuhudiwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Nassor Mazrui, ambapo amesema Zanzibar ni nchi ya kwanza...
  9. Pritty wa joseph

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Hallow wana JF, weka bei, picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.
  10. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

    Habarini wadau. Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandamwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu...
  11. GP Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

    Habari wana mzengo! Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe ordar nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo wako
  12. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Punguzo maalum infinix hot 10 kwa laki na nusu tu, karibu

    Memory gb32 Ram 4 Condition NEW kwenye box lake Zipo nyingi Karibuni Mikoan tunatuma kwa gharama zako Namba zipo hapo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

    Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa. Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe" Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi kutopokea simu, nini kifanyike?

    Kumekuwa na wimbi la viongozi wa umma kutopokea simu zao. Simu za mezani nyingi hazipokelewi na kiganjani pia. Je, Ili kuwepo mawasiliano rahisi kati ya Umma na Viongozi hao, nini kifanyike?
  15. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Ufundi simu: Karibu tujadili UFI BOX

    Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube naona kwenye swala la kurestore oppo na kuchomoa frp inafanya kazi vyema nilikua nina omba mawazo...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukinunua simu online (Mfano Ebay au AliExpress) kuipata ni bahati nasibu

    Kwema wakuu. Siku hizi ukinunua simu/smartphone online mfano kutoka China AliExpress au Ebay n.k aisee kuipata ni kubet. Zoezi zima la kununua litaenda vizuri, itatumwa, utaitrack, tatizo itakavyofika Tanzania. Aisee sijui ni Airport au Posta wanapiga. Tracking inaishia “item has arrived in...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Habari Wana jukwaa... Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia. Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara...
  18. wamidosho

    JamiiForums Tanzania Wapi Nitapata Camera lens za simu? zenye fisheye and wide angle lens?

    Habari zenu wana Jf, Naomba kujua kwa hapa bongo naweza pata wapi hizi Camera lens za simu. Cc Chief-Mkwawa
  19. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Boksi gani nzuri kuflash simu

    Wakuu nilikuwa naomba msaada boksi gani nzuri kwa software za simu, Bajeti yangu ni Million moja.
  20. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna baranch ya simu ya oppo Arusha mnisaidie location au kaskazini sehemu yoyte

    Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu...
Back
Top Bottom