Kazi za House Keeping Hotelini Lahe Mwanza. Simu 0754290084

dndagula

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
1,457
1,442
Wafanya kazi wa usafi wa vyumba wanatakiwa kwenye Hoteli ya Lahe.Maombi kuanzia tarehe 21.12.2021 hadi 15.1.2022. Tafadhali omba kwa namba 0754290084 au 0655290084.
 
Lahe ndo ile ya RC alokua Dar zen Kilimanjaro afu akaja gombea uenyekiti wa ccm mkoa akapigwa chini na Diallo nimemsahau jina sijui kagasheki sijui mabina sijui nani vile
 
hii hotel ni ndogo sana lakini ajira kila mara wanatangaza inaonekana hamlipi wafanyakazi wenu wanawakimbia kila mala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom