simu

  1. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

    Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja. Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na pesa tu unaondoka nae. Huyu wanasheria mdogo wangu alikuwa analalamika Tabia za kushangaza za mpenzi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania TRA na Waziri mwenye dhamana "Nape Nnauye" hivi hizi kampuni za simu zimeizidi nguvu Serikali au

    Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
  3. G

    JamiiForums Tanzania TRA hawatoi majina ya walioajiriwa badala yake wanapigiwa simu, hii inaonesha wazi kuna kuajiriwa kwa kujuana

    Habari, Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze? Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo. Suala la mtoto wa...
  4. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya Maafisa hawa wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mara

    Kwa mwenye nazo naomba anisaidie namba za simu za Mkurugenzi Rorya DC, Afisa Utumishi Rorya, Afisa Elimu Secondary na kama unazo za staff wengine nitashukuru ukishea nami, ninashida nazo. Natanguliza shukrani zangu.
  5. simplemind

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia matangazo simu ya android

    Head to Settings > Network and Internet > Advanced > Private DNS. Choose the option Private DNS Provider Hostname. Enter "dns.adguard.com" and Save. That's it! You'll no longer see any in-app ad ads or pop-ups on browsers.
  6. Uncle Livege

    JamiiForums Tanzania Msaada kuondoa kulipa simu ya mkopo

    nimechukua simu ya mkopo nmeshindwa kulipia nataka kuendelea kutumia msaada tafadhari
  7. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Simu yangu nikipigiwa haioneshi jina la mpigaji hata option ya kupokea au kukata Simu siioni

    Wakuu, sielewi hii simu niliichezea vipi usiku wakati nimelala maana nililalia. Ila tatizo kubwa ni kuwa nikipigiwa huwa haioneshi jina/namba la mpigaji, pia haitokei option ya kupokea au kukata.. yaan zile alama za kijani na nyekundu. So wataalam wa setting niende sehemu gani nikaset vizuri...
  8. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zinazotarajiwa kutambulisha bidhaa mpya

    Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana.. Miongoni mwa vifaa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nauza simu ya mkopo

    Ndugu zangu Nina simu nauza ila ni ya mkopo. Imebakiza miezi mitatu kumaliza. Ni Infinix smart 7+. Nina dharura na Sina kitu kingine Cha ziada. Anaeweza kunisaidia kuinunua naomba tuwasiliane please.
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusumbuliwa na wakala wa Bima za Mitandao ya simu?, Wape majibu haya watakata simu haraka

    Ni watu wanaosumbua sana, Reality sio matapeli ila jinsi wanavyoshawishi unaona kabisa ni biashara inayoshahabiana na biashara za kitapeli. Akianza tu mwambie naomba nikuulize swali , akikupa ruhusa muulize hivi; BIMA maana yake ni kuwekeza unufaike wakati ambao huenda utakuwa hauko vizuri...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kufanya mtandao wa simu upatikane Vodacom

    Habari wakuu Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga. Msaada wakuu ili niwe hewani.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Huduma kwa Wateja TANESCO yaelemewa, Simu zinazopigwa ni 40,000 zinazopokelewa ni 12,000 tu kwa siku

    Imebainika kuwa kati ya Wateja 10 wanaopiga Simu Huduma kwa Watje TANESCO, ni Wateja Watatu pekee wanaoweza kusikilizwa kwa siku katika kituo cha huduma kwa wateja cha Shirika la hilo la Umeme. Hali hiyo imefanya Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kutaka mikakati ya muda mfupi kuboresha...
  13. 5

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
  14. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Weka hapa screenshot ya screen ya Simu yako tujue social media platforms unazopenda zaidi

    Moja kwa moja Mimi naanza
  15. Spartacus boy

    JamiiForums Tanzania Chimbo la simu za blackberry Dar es Salaam

    Naulizia ni wapi kwa dares salaam au kwa mkoa wa Iringa ni wapi naweza pata BlackBerry zile simu za kizamani. Ahsante
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wale Matapeli wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" Wanakula na baadhi ya wahudumu wa mitandao ya simu

    Amini nawaambieni! Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu! Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa simu mufanye kama mnapatana na kuelekezana kwamba akutumie" Baada ya kumaliza mazungumzo utashangaa...
  17. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call. Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na vibanda vya huduma ya pesa kwa njia ya simu, wengi hutoa hela mbovu

    Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina. Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Zile risiti za baa mnazopewa na namba za simu msizidharau, zifanyieni kazi

    Kumezuka na wimbi jipya ingawa kwangu la zamani kidogo Ukienda sehemu ya kula na kunywa wakati wa kulipa unapewa billi Kwa juu imeandikwaa namba yanguu ni hii hapa. Kuna mdada leo amepatata kazi. Nilijaribu kumwombea kazi sehemu mbali mbali leo alipiga mchana njoo sehemu nikauliza kuna shida...
  20. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania Simu zenye teknolojia ya dual speakers na dynamic port

    Katika ulimwengu wa leo wa simu smartphone, zimepelekea makampuni kulenga na kuunganisha teknolojia mpya ya muundo wa kisasa uitwao “sleek design”, huduma za juu kama uwezo mkubwa wa memory katika kuhifadhi vitu, sehemu ya “DYNAMIC PORT”, na umbo jembamba linaloonyesha jinsi teknolojia...
Back
Top Bottom