Naomba mbinu ya kumtrack mwizi wa simu yangu?

Wajuzi wanakuja kukupa miongozo.

TULIA HAPOHAPO MKUU (USIONDOKE).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ndugu zangu naomba kujua njia ya kutack simu ya mwizi wangu ili nijue Yuko wapi?

Kunasystem inajulikana nzuri yakutumia kulocate simu ya mtu ninayemtafuta hata kama amezima simu?

Naomba ushauri
Simu janja zote you can track, kwa kwenda kwenye settings na enable tracking, na kuna tracking ya aina mbili,
1. Tracking kupitia IMEI number simu zote hata za tochi zinakuwa tracked ila only zinapokuwa on, hata akibadili sim card.
2. Tracking kwa GPS, hii ni kwa simu janja tuu, hiyo tracking inakuwezesha wewe kuiwasha simu au kuizima, na kui trace kwa GPS, unaiona mpaka ilipo, unaipiga na inaita mnamdakuwa mwizi wako kama mvuvi anavyovua kwa ndoana.
3. Kuna simu sio salama sana, ukiisha ibiwa wana I flush hadi IMEI number, na kuweka IMEI za simu nyingine, hivyo you can't get it!.
Simu zinazoongoza kwa kuwa flushed ni simu za Android, OS kwa simu za Apple na Simbion, kwa simu za blackberry ni salama zaidi.
4. Kabla hujaanza tracking ripoti polisi kuna pesa kidogo unalipia, polisi wana track,
5. Kuna wezi wakijua simu iko tracked, wana I dismantle na kuuza components as spares.

P
 
Simu ya aina gani? na uliibiwa wapi?
 
Ndugu zangu naomba kujua njia ya kutack simu ya mwizi wangu ili nijue Yuko wapi?

Kunasystem inajulikana nzuri yakutumia kulocate simu ya mtu ninayemtafuta hata kama amezima simu?

Naomba ushauri
simu yako aina gani Kimla ? Siku hizi wezi wa simu wamekuwa wajanja sana simu wanauza spea tu
 
4. Kabla hujaanza tracking ripoti polisi kuna pesa kidogo unalipia, polisi wana track,

Ukienda polisi wana kitengo cha cyber, unalipa kidogo wanakusaidia kuipata simu yako

Nenda police ba box la simu lenye IMEI NAMBA.na hela ya chai.
Hizo kesi wanazipenda sana zina hela.
Wanakula kwako na watakula kwa mwizi wako
Usije ukathubutu Kimla utapoteza pesa na muda bure na hautaipata simu yako, kanunue nyingine.
 
Simu janja zote you can track, kwa kwenda kwenye settings na enable tracking, na kuna tracking ya aina mbili,
1. Tracking kupitia IMEI number simu zote hata za tochi zinakuwa tracked ila only zinapokuwa on, hata akibadili sim card.
2. Tracking kwa GPS, hii ni kwa simu janja tuu, hiyo tracking inakuwezesha wewe kuiwasha simu au kuizima, na kui trace kwa GPS, unaiona mpaka ilipo, unaipiga na inaita mnamdakuwa mwizi wako kama mvuvi anavyovua kwa ndoana.
3. Kuna simu sio salama sana, ukiisha ibiwa wana I flush hadi IMEI number, na kuweka IMEI za simu nyingine, hivyo you can't get it!.
Simu zinazoongoza kwa kuwa flushed ni simu za Android, OS kwa simu za Apple na Simbion, kwa simu za blackberry ni salama zaidi.
4. Kabla hujaanza tracking ripoti polisi kuna pesa kidogo unalipia, polisi wana track,
5. Kuna wezi wakijua simu iko tracked, wana I dismantle na kuuza components as spares.

P
Mkuu pasal,

Hapo kwenye kuiharibu na kuuza spare ndio jambo kubwa linalofanyika kwa sasa haswa kariakoo.

Akijuana na wale mafundi wa kariakoo simu inapatikana.

Kuna bro wangu ana duka la suti kariakoo alikuja mteja mdada akawa anachagua suti, baada ya muda akaja jamaa pale akawa anaangalia kumbe Yule dada simu aliiacha kwenye meza pale dukani jamaa akapita nayo.

After a time dada anakuja kushtuka simu hakuna alilila akaanza kugaragara

Bro akasema subir ni ya aina gani ilikuwa iphone, akaondoka na yule dada mpaka kwenye nyumba moja ya ghorofa wakamkuta mshkaji ana simu za kila aina, na nzuri zaidi alikuwa anamfahamu, akamwambia simu ya mteja wangu imeibiwa na najua lazima iletwe hapa.

Baada ya muda kweli ile simu akapewa.
Hizo ni bishara zipo kariakoo kwa simu zinazofanyiwa refurbishment Mimi naona sana hayo mambo.
 
Back
Top Bottom