UZINDUZI WA SIMU WENYE SUPRISE KUBWA CHUONI (UDSM)

TTCC_TECNO

Member
Oct 23, 2023
22
10
Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna SUPRISE kubwa imeandaliwa kwajili yenu ambayo itawafanya kutojutia uwepo wenu.
1704354656161.png

Je, unaweza kuhisi ni kitu gani tumewaandalia? Bado hujachelewa! Kama wewe ni MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU, usipange kukosa! Unachotakiwa kufanya ni KUNUNUA TIKETI YAKO SASA! 10,000/= Tsh PEKEE!kwenye ofisi za serikali ya wanafunzi UDSM, CBE, au IFM au kwa kupiga simu namba +255 768 200 225.
1704355155963.png

Usipitwe na fursa hii ya kugundua vitu vipya na vya kusisimua katika zama zijazo za ubunifu wa simu na teknolojia kwa ujumla. Jiandae kwa SUPRISE hii kubwa ya kihistoria, Kwa ushirikiano na AIRTEL TANZANIA TUNA JAMBO SPECIAL KUBWA SANA KWAKO, TUAMINI, TUNAKUHAKIKISHIA; HUTAJUTIA KAMWE!
 
Back
Top Bottom