Nimempigia simu, kapokea jamaa mwingine

Kuna kitu wengi hawajajua hatua (stages) za mwanamke kumwacha mwanamume. Hawa viumbe huwa wanatuacha akilini mwao mapema sana halafu baada ya hapo ni vitendo

●Hatua ya kwanza, anakuwa anakupotezea potezea. Kama alikuwa anakucheki kwenye text au call anapunguz sana

●Hatua ya pili, ni kunyimwa sex au kupewa kwa shida tofauti na zamani

●Hatua ya tatu, vitendo vya waziwazi au tamko la moja kwa moja kuwa mimi na wewe leo basi (kama mleta uzi amejikuta anaongea na mshikaji wa demu wake wa sasa)

Tangu mkiwa kwenye mahusiano mwanamke anajua nani anafuata baada yako mkiachana, kitu ambacho wanaume wengi hatuna

Kwako ndugu mleta uzi, akilini manzi alishakuacha kitambo ila haukutambua vitendo vyake ndio vimekuambia too late
 
Back
Top Bottom