Natafuta Makabati ya Simu yanayowaka Taa

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,139
1,959
Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu.

Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje?

nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya cocacola ila naombeni mwenye connection pa.kuyapata na namna naweza yamiliki niweke dukani kwangu.

Kama ni bure ila mzigo unanunua,Nipo tayari naombeni kuunganishwa na wahusika kwa wanaowajua.

IMG-20231226-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom