simu

  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

    Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani? Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
  2. T

    JamiiForums Tanzania Simu Nokia haisomi mtandao

    Salama mafundi simu. Nokia yangu kama ilivyo kwenye picha,haisomi laini yoyote.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimempigia simu, kapokea jamaa mwingine

    Kwema wakuu, Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
  4. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

    Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu? Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia. Nikipata username za instagram ili...
  5. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa IT naomba mnisaidie kuifunga simu isifanye kazi na kumtafuta aliyeniibia

    Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei...
  6. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Unajiskiaje pale unapofanya mambo yako kwenye simu au PC halafu akaja mtoto kuangalia unachofanya

    Ningependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya? Binafsi huwa nina kawaida ya kwenda kusalimia ndugu ninapopata muda na huwa nakutana sana na hii changamoto hasa ukizingatia...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Wakuu habari. Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje? Mbarikiwe!
  8. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania UZINDUZI WA SIMU WENYE SUPRISE KUBWA CHUONI (UDSM)

    Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Unawezaje zuia usipatikane kwenye simu lakini ujue nani kakutafuta

    Wakuu si mara kwa mara ungependa kupokea simu ya mtu lakini pia usipopokea na usipokuja kumtafuta baadaye inaweza tengeneza maswali mengi sababu anajua missed call ulipata. Lakini wakati mwingine inawezekana mazingira ya kupokea hiyo simu siyo mazuri ukaacha ukisema utakuja kumtafuta baadaye...
  10. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Kama unataka uuze gari, simu na vingine ili ulipe ada hamisha mtoto kwenda shule za Samia

    Ada zinasumbua sasa. Ukitaka kuuza kitu ulipe ada hapo unakosea sana! Magari, viwanja, nyumba, simu, pikipiki vinawekwa sokoni kwa kasi sana.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Fundi kapasua kioo cha simu yangu mpya, wakati akiweka protector. Je, nina haki yoyote ya kumripoti?

    Habari wakuu, Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector. Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi kikavuja. alikuwa mbishi kukilipa, hadi nilipomtishia kwenda polisi akaniomba nimpe siku mbili. Sasa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kumtrack mwizi wa simu yangu?

    Ndugu zangu naomba kujua njia ya kutack simu ya mwizi wangu ili nijue Yuko wapi? Kunasystem inajulikana nzuri yakutumia kulocate simu ya mtu ninayemtafuta hata kama amezima simu? Naomba ushauri
  13. The bump

    JamiiForums Tanzania Natafuta Makabati ya Simu yanayowaka Taa

    Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu. Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje? nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya cocacola ila naombeni mwenye connection pa.kuyapata na namna naweza yamiliki niweke dukani kwangu. Kama...
  14. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kujianika mbele ya hadhara kisa unaongea na simu ni uzwanzwa!

    Nilikuwa nasafiri kutoka Dodoma kuja Dar! Njiani jamaa anaongea na simu mwanzo mwisho na kujionyesha anafanyakazi gani na matumizi ya hela na miradi aliyonayo na mahusiano na blahblah nyingi! Gari zima lilijua yeye ni nani hadi ikawa kero na kutuboa! Mpaka jamaa mmoja kamtolea mbovu ya kwamba...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tangu Maharage aondoke, TAnesco emergency simu shida, Umeme kuunga tabu

    Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua. Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Oya Wazee wa Kazi 'Eagle Wing Obey' wameshaanza 'Kunidukua' au kuna tatizo gani na Simu yangu au za Wengine?

    Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa. Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia...
  17. The Boss

    JamiiForums Tanzania Games popular kwenye simu... unacheza game ipi?

    Natamani kujua game ambazo zina ongoza kupendwa na watumiaji wa simu za mkononi Tz... Una game zipi kwenye simu yako?
  18. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka maneno ya Rostam Azizi kuhusu " Mapilato" wa Bongo kupigiwa simu za maelekezo

    Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani. Hakika aliongea ukweli na atakumbukwa sana kwa kauli yake hii na tutakuwa tunaifanyia rejea kila...
  20. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

    Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja. Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na pesa tu unaondoka nae. Huyu wanasheria mdogo wangu alikuwa analalamika Tabia za kushangaza za mpenzi...
Back
Top Bottom