simu

  1. Tman900

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza laini ya simu. Natoa ofa ya 100,000/= kwa mtu alieiokota

    Juzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni. Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo. Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed. Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 100,000/= #Nitaifuata hapo kwa Gharama za...
  2. Tman900

    JamiiForums Tanzania Line ya Simu Cm Card. imepotea Mtu ambayo ameokota. Kuna Offer Tsh 50,000/=

    Juzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo. Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed. Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 50,000/= #Nitaifuata hapo kwa Gharama...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali apiga Marufuku Watoa Huduma za Afya kuongea na Simu Binafsi Kazini

    Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya mawasiliano ya simu mnapopunguza dakika vifurushi vyenu toeni taarifa pia

    Salaam humu. Kuna jamaa amekuja kwangu nimuungie kifurushi kwenye mtandao mmoja pendwa nikajifanya kama mjuaji sana na madoido yangu nikamuungia akaondoka zake. Baada ya dakika tano karudi analalamika nimemuungia kifurushi siyo chenyewe kuja kuangalia kweli dakika zimepungua nikatoa macho...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

    Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani. Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF Hali hii tunaipitia wangapi? MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituko nilivyomfanyia huyu demu kwenye simu jana hatawahi tena kunitafuta

    Mzuka wanajamvi. Huyu demu tulikutana naye njiani mwaka jana mwezi wa 8. Nikampiga sound aka tick. Akawa girlfriend wangu. Ila baadaye akaanza kiburi na mimi nilishaanza kufall in love. Hanijibu msg zangu hanipigii simu mara kwa mara kama mwanzo namuona yuko online WhatsApp lakini hanijali...
  7. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Suala vifurushi vya huduma za simu kupanda bila taarifa, nani anafaidika?

    Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka. Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

    Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?

    Kwenye ulimwengu wa sasa kuna kipindi unachukua namba ya mtu na unashindwa kumsave kwa jina lake, sometimes husababishwa na majina kufanana au kutomfahamu vizuri aliekupa namba. Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?
  10. chris emex

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 4a 5G

    Call 0628880380 OFFER kwa 270tsh Google Pixel 4a 5G-Resolution 1080 x 2340 pixels,-Android 14-128GB storage -6GB RAM
  11. I

    JamiiForums Tanzania Je, makampuni ya simu yamepunguza Mb/sec?

    Naomba anayefahamu atueleze, kuna kitu gani kinachoendelea katika hii mitandao ya simu kwa sababu inaonekana ni wizi wa dhahiri kabisa. Kwa mfano, kwa sasa ukinunua GB moja ambayo ni sawa na MB 1,000 na kama hutumii kwa kupakua ila kwa ku-browse tu pale ambapo ulikuwa ukitumia kwa takriban siku...
  12. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu samsung A10s tsh 150000

    Simu ipo katika hali nzuri haisumbui choxhote Bei 150000 Ram2gb Storage gb32 Line 2 4g Fingerptint 5000 battery Clean camera 0627474141 Pugu dsm
  13. nasry9819

    JamiiForums Tanzania simu ya samsung note9

    wakuu niaje.nina simu ya samsung note9 shida niki unistall au delete txt notification ya deleted inakaa muda mrefu sana alaf ndy inatoka.eg. picha below
  14. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

    Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani? Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
  15. T

    JamiiForums Tanzania Simu Nokia haisomi mtandao

    Salama mafundi simu. Nokia yangu kama ilivyo kwenye picha,haisomi laini yoyote.
  16. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempigia simu, kapokea jamaa mwingine

    Kwema wakuu, Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
  17. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

    Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu? Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia. Nikipata username za instagram ili...
  18. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa IT naomba mnisaidie kuifunga simu isifanye kazi na kumtafuta aliyeniibia

    Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei...
  19. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Unajiskiaje pale unapofanya mambo yako kwenye simu au PC halafu akaja mtoto kuangalia unachofanya

    Ningependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya? Binafsi huwa nina kawaida ya kwenda kusalimia ndugu ninapopata muda na huwa nakutana sana na hii changamoto hasa ukizingatia...
  20. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Wakuu habari. Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje? Mbarikiwe!
Back
Top Bottom