Kwanini mkiibiwa simu mnaipigia, mnataka kumwambia nini mwizi?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Mtu labda ulikuwa zako kwenye usafiri wa umma, ukaibiwa simu yako. Au hata nyumbani kwako watu wamevunja dirisha wamebeba simu.

Unakuta mtu yuko busy kujipigia, huwa mnataka kumwambia nini mwizi?
 
mtu hupiga simu ili kujiridhisha tu lakini muda mwingine inasaidia kupata simu au hata laini zako. nilishadondosha simu ikiwa na 5k kwenye kava lake basi jamaa alieokota akakaa na simu mpka nilipopiga akaniambia nimeokota simu na 5k sasa hoi 5k nimetumia kula chips ikabidi nicheke tukaanza kupatana sasa laini aweke wapi ntakapozipata na kweli kwenda hapo nikakuta laini na memory card ila niliumia sana kupoteza simu na ajabu jamaa alikua ananiambia kama vipi nipe na password yako nifute kila kitu nitumie simu kama utani ila akikua serious sikumpa ila naamini alikwemda kuiflash akaitumia vizur tu...

pia nimeshaokota simu ya demu na mwishoe akaliwa kimasihara...
nimeshaokota simu nikaoga matusi na nilikua na nia ya kumrudishia ila naona alipiga atukane machungu yapungue.
 
Hii nayo ni Maada? Hii Forum imevamiwa sana na sioni mwisho mzuri, kwamba ni geater thinker kaumiza kichwa kuja na post ya aina hii
 
mtu hupiga simu ili kujiridhisha tu lakini muda mwingine inasaidia kupata simu au hata laini zako. nilishadondosha simu ikiwa na 5k kwenye kava lake basi jamaa alieokota akakaa na simu mpka nilipopiga akaniambia nimeokota simu na 5k sasa hoi 5k nimetumia kula chips ikabidi nicheke tukaanza kupatana sasa laini aweke wapi ntakapozipata na kweli kwenda hapo nikakuta laini na memory card ila niliumia sana kupoteza simu na ajabu jamaa alikua ananiambia kama vipi nipe na password yako nifute kila kitu nitumie simu kama utani ila akikua serious sikumpa ila naamini alikwemda kuiflash akaitumia vizur tu...

pia nimeshaokota simu ya demu na mwishoe akaliwa kimasihara...
nimeshaokota simu nikaoga matusi na nilikua na nia ya kumrudishia ila naona alipiga atukane machungu yapungue.
Duh yaani mnakabidhiana hadi line, wezi wa siku hizi hawana ethics
 
sasa ushadondosha simu na umepiga anakupa maelezo hayo unakataa? bora upate line zako simu zipo tu na yeye anaelewa kupoteza laini ni gaharama zaidi ya simu mimi mwenyewe nilishukuru kuzikuta hapo ila 5k na simu vilienda bila huruma
 
Jamaa alipiga simu nikajua ndugu yangu kumbe ananiambia mwenye hii namba amepata ajali amekufa kagongwa na boda maeneneo ya chanika hapa kwahio uje Ila simu usipige Tena kufika maeneo ya chanika nikweli dogo kapata ajali Ila nilisshikuru tu kwa mtoa taarifa
 
Back
Top Bottom