App nzuri ya kuscan kutoka picha kuwa pdf

App nzuri ya kuscan kutoka picha kuwa pdf

STUKA M1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,414
Reaction score
7,005
Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
 
Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
 
Ni mchakato... search "online images convert to PDF" kwenye browse baada ya hapo utachagua tovuti ya mwanzo kutokea utafuata maelekezo huko...!​
 
Back
Top Bottom