Habarini wapendwa Kama kichwa Cha huu uzi kinavyojieleza kuhusu Facebook ads. Kwahivyo sisi tumeamua kukufundisha hii huduma kwa kupitia video zitakazo rushwa via WhatsApp messenger. Huduma itatolewa kwa gharama ya Tsh 1000/= na kutukua na full technical support.
Napatika kwa
WhatsApp no-...
Napenda kuwapa ushauri wana JF wenzangu.
Mjitahidi kulinda privacy zenu huko Facebook, Instagram, Twitter n.k. Kuna watu wakiipata tu namba yako wanakudukua kiulaini.
Nimewahi kufanya research na kugundua ni rahisi sana kumdukua mtu kwenye mtandao wa kijamii ikiwa tu utaijua namba ya simu...
List hii ya simu 10 bora kwa camera ni kwa mujibu wa DXOMARK.
Bila ya kupoteza muda tuanze na namba 1
HUAWEI MATE 40 PRO
Huawei Mate 40 Pro is officially announced on October 22, 2020.
The dimension of the device is 162.9 x 75.5 x 9.1 mm while it weighs 212 grams. The device is powered by...
Nimeona sio mbaya kuingia kwa JF kupata information zaidi sababu kuna watu wana knowledge nyingi sana na mbalimbali hapa.
Katika saiti yangu moja ya kazi, kuna nyumba za wafanyakazi. Kijana mmoja mwangalizi mkuu wa saiti hio, amekuwa akitunza hela kwenye ndoo sababu wazazi wake walipitia tatizo...
Nataka kununua Simu.
Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung.
Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=.
Nazingatia zaidi good camera na muonekano.
Update
Niliongeza pesa kidogo nikachukua Samsung A 51, nimeipenda ni nzuri. Asanteni.
WanaJF
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.
Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu
Tayari Kuna pilikapilika kubwa...
Simu ni chombo muhimu sana cha mawasiliano lakini wakati mwingine kina weza kuwa karaha kutokana na sababu mbali mbali.
A: Unapo mpigia mtu simu zingatia mambo haya.
1. Ukipiga simu ukiona haipokelewi kata usisubiri mpaka mtandao ukuambie kuwa simu yako haipokelewi. Usishikilie line muda mrefu...
Kwa mara ya kwanza Katika ulimwengu wa kampuni KUBWA na MAARUFU za Simu(Tuelewane hapo, usikimbilie ligi uje unitajie Doogee, Energizer au ulefone).
Hatimaye leo mchana samsung ametoa ingizo jipya katika series yake ya 'M', series inayojuulikana kwa kutoa simu zenye battery kubwa.
Hii ni...
Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto Kinondoni, Kamishna msaidizi muandamizi, Salum Mohamed amesema watawachukulia hatua za kisheria wanaosababisha usumbufu kwa Jeshi la Zimamoto.
Kamanda huyo amesema kuna raia wamekuwa na tabia ya kuitumia namba ya Zimamoto kuzungumza mambo...
1.washa simu kisha washa data.
2.Bonyeza settings.
3.Bonyeza apps.
4.kisha zitakuja app nyingi ulizodownload,sasa anza na zile zenye mb nyingi kama WhatsApp, unaibonyeza
5.Bonyeza storage.
6.Bonyeza clear data.kisha sema OK.
Halafu back unaingia app nyingine,ukifanya app tano nafasi utapata ya...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Chalantai wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Tabita Mwanyanje (29), anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na maeneo mengine ya mwili na mumewe Frank Galimoshi (30) kwa wivu wa mapenzi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Programu (Malware) ambazo zinawasajili watumiaji bila ruhusa yao zimepatikana kwenye maelfu ya simu zinazouzwa Afrika. Simu 53,000 za Tecno zenye virusi zimeuzwa Ethiopia, Cameroon, Misri, Ghana na South Afrika.
Transsion ambae ni mzalishaji wa simu aina ya Tecno inayoongoza kwa mauzo barani...
Naomba tu ukaziwakilishe sehemu husika ili kupata zawadi yako, mimi nimezunguka uwanja mzima hadi kwenye magoli hakuna kitu, 😢 nilijua hiyo ni fursa chap nikaingia kazini kumbe kazi sio rahisi, sa sijui aliziangushia pale pale uwanjani au🤔 ila nimepata wazo ngoja nianzie kutoka hapa uwanjani kwa...
Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu janja ' Smart Phones ', tablet na saa janja ' Smart Watches kwa watoto chini ya miaka 15 katika shule.
Serikali ya taifa imekuwa ikitilia shaka uwezo wa wanafunzi kwa maana ya kutegemea vifaa hivi katika masomo yao pia ikionekana kama chagizo la...
PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu
Halopesa/Tigopesa/MPesa/Airtel Money/T-Pesa/waleti zingine
Badala ya watumishi katika sekta za umma na za binafsi kulazimika kutumia akaunti za benki kupokelea mishahara, waruhusiwe kupokelea mishahara na malipo mengine...
Inafahamika kuwa mawasiliano ya simu barani Afrika ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa na mchango mkubwa wa vijana, Afrika inaongoza katika matumizi ya teknolojia ya simu na programu tumishi maarufu kwa Kiingereza kama apps.
Ukuaji wa sekta hiyo unajidhihirisha pia...
Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha.
Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu.
Kuweni waangalifu...
Hii tabia huwa inanikwaza sana halafu ni ya wengi sana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu!
Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika!
Tuweni wastaarabu jamani
Umefika wakati sasa ndugu zangu tuanze kufahamu matumizi sahihi ya simu, Iweje leo mtu unakuwa na picha nyingi kwenye simu kiasi hiki? Hiyo sasa simu au Camera cha kusikitisha sasa hizo picha zote hakuna jipya. Tubadilike jamani Dunia inatuacha hii, simu km hiyo ikiibiwa sijui itakuwaje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.