Nahisi mke wangu kadukua Simu yangu. Hivi inawezekana hiyo?

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Wadau habari za majukumu

Kuna jambo linanitatiza sana katika kipindi hiki cha karibuni baina yangu na mke wangu. Yaani kuna msg zangu anazijuaa, sasa sijui anapata wapi, mfano jana kuna mdada kwenye group la shule kanitumia msg anaomba msaada nimemtumia. Narudi home umeme hakuna, nikanunua LUKU kidogo akaniambia hela za kuhonga kutumia wanawake unazo LUKU hauna wewe bana wewe endelea TU 40 yako inakuja.

Basi hilo ni moja tu ya tukio lakini hapo maneno mengi ndani
 
Mapenzi ya sasa yanavunjwa na simu za mkonon, ukitaka kuyanusuru acha kufatilia sim ya mwenzako, kwakua ye kaamua kuyavunja Adhabu yake muache aendelee kuumia hivyo hivyo
 
Kama umalaya huuwezi achia wengine utakuja kuvunja ndoa bure uhangaishe watoto.

Sheria au kanuni moja kuu ya mwanaume mwenye michepuko mingi na ili usigombane na mkeo ni kuhakikisha nyumbani kila kitu kiko sawa au angalau kinakaribia kua sawa.

Wewe unahonga 50,000 halafu luku unanunua ya 5,000 wewe ni mzima kweli?

Cha kwanza ni kuhakikisha mambo nyumbani yamekaa sawa ili mwanamke akose neno halafu ndio unatumia hela yako kuhonga.

Kila kitu kikikaa sawa mwanamke waa hawezi kua na mdomo sana na hata hela ya kuhonga ukimuomba anakupatia ya kwake savings.

Wewe hela ya luku ndio unahonga kwa nini mwanamke asikuhisi vibaya.
 
na endelea kuamini Mapenzi ya sikuizi ni heri kushikana nyeti kuliko kushikiana simu
 
kadukua simu,,, subiria akudukue na wewe.......huna akili wewe......eti nimemsaidia ...........wakati home hakuna umeme.........ukiamua kuwa kahaba uwe jasiri na mwenye akili TIMAMU.
 
Wadau habari za majukumu

Kuna jambo linanitatiza sana katika kipindi hiki cha karibuni baina yangu na mke wangu. Yaani kuna msg zangu anazijuaa, sasa sijui anapata wapi, mfano jana kuna mdada kwenye group la shule kanitumia msg anaomba msaada nimemtumia. Narudi home umeme hakuna, nikanunua LUKU kidogo akaniambia hela za kuhonga kutumia wanawake unazo LUKU hauna wewe bana wewe endelea TU 40 yako inakuja.

Basi hilo ni moja tu ya tukio lakini hapo maneno mengi ndani
Press *#61# utapata jibu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe namba ya mkeo nimhonge naye atulize boli maisha yaendelee, utakuwa huru na vurugu za nje ya ndoa
 
Kapata kigogo wamesaidiana kudukua mawasiliano yako kama Obama alivyomfanya yule mama makeli.

Ujue huyo ameshakuzidi akili.

Nawe jutahidi usikaliwe kichwani na mwanamke.
Ngoja namimi nitafute wataalam nimdukue kama inawezekana
 
Back
Top Bottom