simu

  1. Latrice

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha zilizopigwa na simu za XIAOMI

  2. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Uzi wa wenye simu za iPhone

    Habari wajanja wa mujini, Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi. Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
  3. Vege

    JamiiForums Tanzania Vile mitandao ya simu ilivyofanya Corona kama biashara ya kuwanyonya wateja

    Habari zenu wadau, Kutokana na matamko ya serikali ya watu kujifungia ndani ama kalantin kama inavyojulika, mitandao mingi ikiwemo TTCL, VODACOM, TIGO wamekua waki pandisha bei za vifurushi vyao kiholela na kupunguza thamani ya vifurushi hivyo. Wakati ili hali wanajua watu wengi wapo nyumban...
  4. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Je naweza kutumia charger (adapter) USB Type-C ya laptop kuchajia simu?

    Nina laptop unayotumia adapter ya USB type C na simu ya charger ya USB type C. Sasa naomba kuuliza je naweza kutumia hii adapter laptop kuchhaji simu? Kuna siku nilijaribu ila ofisini pale mtu mmoja akanitisha kua nitaua simu au itaungua ingawa alienipa tahadhari sio mtaalamu wa mambo ya umeme...
  5. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania

    Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia. Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ije na mkakati wa kuhakikisha mabenki na mitandao ya simu wanapunguza gharama za kuhamisha fedha kielektroniki

    Hivi sasa mabenki wanatutumia sms wakitushauri tuache utaratibu wa kufanya miamala kwa kutumia cash money na badala yake tutumie huduma za kielektroniki(mobile banking) kufanya miamala hiyo kama njia mojawapo ya kupambana na ugonjwa wa corona. Binafsi naupokea ushauri huo ila nawashauri kwanza...
  7. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya malipo ya bidhaa kwa njia ya simu na fao la dharura

    Asalam aleykum! Bila kupoteza muda naomba tujadili hili suala kama dharura. Ninaomba TCRA, BoT na mitandao ya simu watengeneze haraka mfumo wa malipo kwa njia ya simu. Huduma kama lipa kwa M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, Halo Pesa, Tigo Pesa na Ezzy Pesa ili tuepuke matumizi ya pesa taslimu...
  8. Luqman mohamedy

    JamiiForums Tanzania Wapandishwa kizimbani kwa kufungua simu zilizofungwa na TCRA

    Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kujihusisha na kufungua simu zilizofungwa na TCRA ili kubadili uhalisia wa IMEI namba. Wakisomewa mashtaka hayo na wakili wa serikali Esther Martin mbele ya Hakimu mkazi mwandamizi...
  9. i-store

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Wapenzi wa Samsung Note5 na S8+ simu zenu zimefika

    Bila kuwa potezea
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata simu ilioibiwa?

    Wakuu vibaka wameniibia simu yangu Samsung Galaxy Tab A 7. android 5.x.x nimejaribu kuitrack lakini naona itakua imefanyiwa factory reset, android version yake haina ile lock ambayo hata uki rest haitoki naombeni ushauri kuna namna naweza fanya kabla ya kwenda polisi nimepewa fununu plisi...
  11. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Video nilizochukua na simu haziplay vizuri kwenye PC

    Kwa watu wenye uelewa wa hili tatizo naombeni mnisaidie, Video ninazozirekodi na simu yangu ya Samsung huwa haziplay vizuri kwenye computer, video ina play kisha inasimama simama wakati track bar ya program ya kuplay video inatembea.Track bar ni kile kiashiria kinachoonyesha video ipo sekunde...
  12. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi

    Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya chumi zinazokua vizuri katika eneo la Afrika Mashariki. Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa...
  13. itel Mobile Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Kampuni ya Simu za Mkononi ya 'itel Mobile'

    itel Mobile ilianzishwa mwaka 2007 jijini Hong Kong nchini China kwa kutambua kiu ya wateja ya kuunganishwa kimawasiliano Duniani. Kwa kutumia Falsafa yetu ya "Join · Enjoy", tunafurahi kumpa hamasa na nafasi sawa kila mtu kwa kutoa bidhaa bora kabisa na zinazokidhi haja ya mawasiliano duniani...
  14. uran

    JamiiForums Tanzania Samsung A30s na Tecno Camon 12 pro. Simu ipi kali?

    Wakuu kati ya hayo matoleo mawili hapo, simu gani ni kali zaidi?
  15. mobakha

    JamiiForums Tanzania Tapeli amemuibia simu mke wangu na kulaghai watu

    Habari za leo ninatumai ni wazima wa afya na mnaendelea na jukumu la kujenga taifa letu. si mweledi sana wa kuandika ila leo nimekuja na hili lililonitokea. Kiufupi ni kwamba mke wangu ameibiwa simu yake ya android nyumbani kwake mchana kweupe sitoeleza stori yote ila baada ya tapeli...
  16. hp4510

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje Tovuti nyingi za Serikali namba zake za simu huwa sio za hapo?

    Nimekuombana na tatizo hili mara kibao sana. Unakuwa na shida flan, unaenda kwenye website husika, unachukua namba ya simu na ukipiga unaambiwa ni namba ya mdada wa kazi sijui wapi huko. Mfano jana nilikuwa nataka namba ya office ya DPP nimeingia kwenye web yao Nimepata namba napiga kumbe ni...
  17. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya

    Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial...
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Samsung mpya kwa Dodoma

    Habarini za muda huu, naomba kujuzwa ni duka gani Dodoma, morogoro au iringa na weza kupata simu za samsang s10+,S20 na S20+. Kwa moja ya mikoa twajwa ,shukran kwa details n PM.
  19. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi

    Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini. Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza kunufaika kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza katika teknolojia. Akizungumza jijini Dar Es Salaam, Katibu...
  20. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Simu yangu aina ya Tecno Pop1 imezima msaada wadau

    Simu yangu aina ya Tecno pop1 imezima kuna fundi kaicheki kasema inatakiwa iflashiwe je kuflash ni sh ngapi? Je, inaweza kusolve tatizo?
Back
Top Bottom