Zipo zinazokubali kutouch hata kama ipo juu ya meza yaani hata kama hujaibeba kiganjani.Simu nyingi ukiiweka juu ya kitu chochote inakataa kutouch mpaka uibebe naomba kujuzwa kitalaam inakuwa kwa sababu gani
Asante mkuuZipo zinazokubali kutouch hata kama ipo juu ya meza yaani hata kama hujaibeba kiganjani.
Ila naona kwa sasa simu nyingi wanatumia huo mfumo wa kuto kutachi ikiwa haipo kiganjani ili kuzuia simu isijitouch yenyewe ovyo inapokuwa katika mazingira yasiyoeleweka kama vile simu ikiwa mfukoni.
Capacitive touch screens zinatumia capacitance ili kuweza ku sense touch input. Capacitance hiyo inaweza kusababishwa na vitu mbalimbali kama vile simu ikiguswa kwenye screen na waya wake wa charger wakati wa kuchaji, au simu ikiguswa na waya wowote unaobeba alternating signal kama vile waya unaobeba umeme wa AC.
Sasa kuzuia hili tatizo simu zinahitaji kusense signal yake yenyewe, yaani unapoishika inatengeneza circuit ambayo circuit hiyo inakamilika pale unapotouch screen, na kufanya simu kutambua original touch action only.
Wengine wajazie...
From JF App
Simu gani kwa mfanoSimu nyingi ukiiweka juu ya kitu chochote inakataa kutouch mpaka uibebe naomba kujuzwa kitalaam inakuwa kwa sababu gani?
Samsung a20sSimu gani kwa mfano
Labda baadhi ya simu kwangu sijaona hilo touch sensitive iko vyema.Simu nyingi ukiiweka juu ya kitu chochote inakataa kutouch mpaka uibebe naomba kujuzwa kitalaam inakuwa kwa sababu gani?
Ni kweli tecno nyingi ziko hivyo.Simu nyingi ukiiweka juu ya kitu chochote inakataa kutouch mpaka uibebe naomba kujuzwa kitalaam inakuwa kwa sababu gani?
Sasa hiyo ilikuwa ni technology ya Resistive touch screen iliyokuwa ina sense pressure. Sasa hivi ni mambo ya capacitive touch screen.Mi nilimiliki smartpone ya kichina mwaka 2009 yenye kistiki chake. Unaambiwa ilikuwa inakubali kutouch kwa stick na ukucha tuu!