Naibu waziri wa Maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.
Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia...
Baada ya miezi ya kujaribu kufungua (bila kufuta taarifa) simu mbili aina ya iPhone [ iPhone 5 na iPhone 7 ] zilizokua zikitumiwa na gaidi aitwaye Syed Farook (21),
Hatimaye FBI yafanikiwa kuingia kwenye iPhone iliyokuwa ikitumiwa na Syed Farook aliyehusika na tukio la kuwamiminia risasi na...
Google wamiliki wa android wana simu ambazo ni nadra kuzikuta huku kwetu zinaitwa pixel.
Pixel zinadizainiwa na kufanyiwa promotion na google wenyewe lakini wanaozalisha simu za pixel ni HTC kampuni ya taiwan.
Kabla ya htc kupata tenda google walijaribu kufanya dili na huawei. Huawei...
Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini.
Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
RAILA KAMSHAURI MAGUFULI YUPI?
Raila Odinga anadai amempigia Rais wetu Simu kumshauri kuhusu Corona. Anavyodai sijui hajampata kwenye Simu.....
Kitu ambacho Raila anatakiwa kukifahamu ni kwamba Kuna Magufuli wawili, Mmoja ni Rafiki yake ambaye wanaweza kujadiliana naye chochote kwa wakati...
Wakuu hivi utofauti wa simu ya I Phone za simu za android kama Samsung,Oppo ni upi?
Je, i Phone yenye Storage ya 16GB inaweza ikawa tofauti na Samsung yenye storage ya 16 GB
Hapa nazungumzia utofauti kwenye jinsi inavyofanya kazi na uwezo wa kuhifadhi mafaili
Achana na suala la chaji na...
Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
Wanajukwaa, yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu.
Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni...
Kabla Rais hajamuondoa marehemu Dkt. Augustine Mahiga kwenye wizara ya mambo ya nje alianza sana kumtumia tumia Prof. Kabudi hadi akamuwakilisha kuongea na diaspora wa USA. Baadaye tuliona yaliyotokea.
Leo nimemshangaa sana Waziri wa Mambo ya Nje kubeba majukumu yote ya Wizara ya Afya hadi...
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Eng Kamwelwe, ameliambia bunge kuwa matumizi ya simu za mikononi yameongezeka kwa kiasi kikubwa kutoka ml 39 mwaka 2015 hadi ml 43 mwaka 2020.
Matumizi ya internet yameongezeka kutoka ml 9 mwaka 2015 hadi ml 25 mwaka 2020
Hilo pia limeenda sambamba na...
Fuata Hatua Zifuatazo Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura Kwa Kutumia Simu Yako Ukiwa Nyumbani Bila Kwenda Mahali Popote. Ni vyema kila mtu ahakiki na mwezi wa kumi aende kupiga kura ili kuamua mustakabali wa nchi yetu na future yetu sisi na watoto wetu
Chagua namba 9
Chagua namba moja
Weka...
Wakuu, Poleni kwa kuwapoteza Wapendwa wenu kwa namna moja ama. Kuna nyakati inabidi kuna mambo tukumbushane au tufundishane, si dhambi. Kwa kipindi hiki cha Corona kuna wenzetu wanaweza kuzidiwa ghafla na tukahindwa kumsaidia kwakuwa hatuawafahamu ndugu zao na kwakua simu zao zina Passwords...
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
Mambo zenu ndugu zangu
Jioni ya leo kuna mtu mmoja mwanamme kadondosha simu aina ya Samsung na kwa bahati mbaya zaidi haina password. Sasa katika kutaka kuichunguza tumeingia Whatsap katumiwa picha za utupu na mke wa mtu ambaye ni mwalimu katika Shule ya Msingi na ambaye mme wake yupo kikazi...
Habari wa JamiiFirums,
Leo nimejisikia ku-share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya.
Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu.
Tafdhali tembelea kiunganishi hiki: https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua...
Wakuu habari zenu,
Kuna simu nataka nimtumie mtu kutoka Dar kwenda mkoani...naomba kwa mwenye uzoefu wa mtu ambaye amewahi kutuma simu kwa mtu aliyopo mkoani anipe uzoefu kwenye mambo yafuatayo:
1. Njia ipi ya haraka na ya usalama ya kutuma huo mzigo
2. Gharama zake huwa zikoje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.