Badilisha USB cable au update hizo USB portsView attachment 1458330Wakuu Nawezaje kuhamisha file Kutoka kwenye pc kwenda kwenye simu.
Kila Nikijaribu inaniletea ujumbe huo hapo kwenye picha
Lakini hii cable ni Mpya kabisa ndio nimenunua janaBadilisha USB cable au update hizo USB ports
Ila naamini ports sio shida, tatizo ni hiyo cable yako
Hebu nieleweshe maana sijawahi ku transfer kwa kutumia xenderAu kama una xender kwenye simu yako unaweza uka transfer kwa wireless
Sawa mkuuMaybe kuna outdated drivers au USB not supported
Fanya ku update drivers na tumia USB oG
Cha kwanza Pc yako iwe na wifiHebu nieleweshe maana sijawahi ku transfer kwa kutumia xender
Hii njia mkuu si mpaka uwe na bundle la internet kwenye simu au?Cha kwanza Pc yako iwe na wifi
Fungua hiyo apk ya xender kwenye simu yako, halafu utaona juu kuna option imeandikwa PC, click hapo halafu itaomba permission ya kufungua hotspot, ruhusu hapo kisha hotspot itakua on then check nenda kwenye pc yako fungua browser yeyote (kama una chrome itakua vizuri zaidi)
Ukishafungua hiyo browser nenda kwenye wifi kairuhusu pc ipate connection ya hotspot ambayo uliishea mwanzo kupitia xender kwenye simu yako
Kwenye simu yako hapo kwenye app ya xender ambayo umei-run kuna link itaonekana hua inasomekaga hivi mara nyingi kama hivi (https:15.555.nk)
Copy hiyo link kwenye xender ya simu yako inayo display hapo kisha paste kwenye browser ya pc then bofya enter hapo pc ita load kwa sekunde kisha itatuma request kwenye simu yako ya kuomba permision ambapo uki accept tu tayali storage ya simu yako ita display kwenye hiyo browser ya pc na utaweza kuamisha chochote utackacho
Hiyo ni offline hutumii bundle wala kuwasha dataHii njia mkuu si mpaka uwe na bundle la internet kwenye simu au?