Msaada wa namna ya kutumia mabox ya kuflash simu

Msaada wa namna ya kutumia mabox ya kuflash simu

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,021
Reaction score
16,599
Wakubwa salaam

Nilinunua mabox ya kuflash simu mawili piranha na volcano mwaka 2015, nilikuwa nayatumia vizuri tu bila shida,sasa leo nimepiga window upya yamegoma kutumika na website za Haya makampuni naona kumbe ziko offline kwa muda mrefu sasa.

Nisaidieni nifanyeje niweze kuyaset na kuyatumia upya
 
Due kweli jf huwezi pata msaada wa issue za kitaalam labda ngono & udaku
 
Wakubwa salaam

Nilinunua mabox ya kuflash simu mawili piranha na volcano mwaka 2015, nilikuwa nayatumia vizuri tu bila shida,sasa leo nimepiga window upya yamegoma kutumika na website za Haya makampuni naona kumbe ziko offline kwa muda mrefu sasa.

Nisaidieni nifanyeje niweze kuyaset na kuyatumia upya
Unataka setup za box au jinsi ya kuzitumia. Kama ni setup ingia easyfirmare.com kuna setup za box karibia zote ambazo kwa sasa hazina support, cha muhimu uwe umelipia ili uweze kudownload kutoka kwenye hiyo site.

Au tafuta Google upate direct link kutoka 3rd part website au ingia gsmhosting.com tafuta section support yao unaweza pata maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom