Kwa wenye shida upande wa Software za simu na tool tukutane hapa

napenda movie

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
521
457
Tuna deal na simu za aina yeyote ile kwa tatizo linalohusu software basi hapa ndo nyumbani unaweza jipatia frmware pamoja na tool yake kwa free kabisa na ukakamilisha kazi yako bila shida kabisa.

Ikiwa unauhitaji wa ku unlock simu na vifaa vingine kama vile modem looter nk huduma inapatikana ikiwa unahitaji kutoa frp utelekezwa namna ya ku bypass simu aina yeyote ile na huduma zingine nyingi ikiwa unaswali ama uhitaji unaruhusiwa kuuliza.

danifordcharse
 
Mkuu smu yangu tekno k7 nimei-reset. Sasa kufunguka inaniomba google ac na mm sijui password za hyo account maana nilimnunulia jamaa kitambo. Help
 
Just create new google account kwa kufanya hivi press new account na sio existing account ukiwa na msaada wa WI-FI
 
Nawezaje kupata picha kwenye simu iliyo formatiwa na sikuwa nimesave kwenye application yoyote.
 
Mkuu smu yangu tekno k7 nimei-reset. Sasa kufunguka inaniomba google ac na mm sijui password za hyo account maana nilimnunulia jamaa kitambo. Help
hiyo hua tuna bypass kwa kutumia apk au kwa kutumia tool
 
Msaada je? Kuna apps inaweza tunza nyimbo na video na kuplay ofline na pia siku ikipotea unaiinstall unazikuta tena nyimbo na video zako vilevile. Memory zinapoharibika napoteza nyimbo ninazopenda

Sent from my KIICAA POWER using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: _ID

kwengu mimi hiyo plogram bado cjaipta ila plogram kama softplay ukiwa na account hutunza ila unaplay kwa kutumia streaming lazima uwe na datta
 
kwa simu za samsung nyingi hua zinaachia
galaxy note 4
update zenyewe na unaweza update kwa maana inakupa opts za kufanya hivyo ukitaka ku update manual hua kuna lisk inaweza utokea japo ikitokea utaweka signed firmware na kuweza kuiludisha tu kama ilivyokua mwanzo japo unaweza kutumia galama kidgo hivyo kwa manually ukihitaji ntakutumia video ya maelekezo mkuu
 
hamna namna ya kurequest iyo update kutoka huko samsung wenyewe
 
inawezekana mkuu kwenye phone specfic hutoa maelezo ikiwa simu ilikua na kwa mfano kua samsung oreo huainakuja na android 7.01 lakini unaweza upgrade 8.1 hadi 9.0 pie
kwa simu yako spesfic yake iko hivi

LAUNCHAnnounced2014, September 03
StatusAvailable. Released 2014, October
BODYDimensions153.5 x 78.6 x 8.5 mm (6.04 x 3.09 x 0.33 in)
Weight176 g (6.21 oz)
BuildGlass front (Gorilla Glass 4), plastic back, aluminum frame
SIMMicro-SIM
Stylus
DISPLAYTypeSuper AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Size5.7 inches, 88.5 cm2 (~73.4% screen-to-body ratio)
Resolution1440 x 2560 pixels, 16:9 ratio (~518 ppi density)
ProtectionCorning Gorilla Glass 4
PLATFORMOSAndroid 4.4.4 (KitKat), upgradable to 6.0.1 (Marshmallow)
ChipsetQualcomm APQ8084 Snapdragon 805 (28 nm)
Exynos 5433
CPUQuad-core 2.7 GHz Krait 450 - Snapdragon 805
Octa-core (4x1.3 GHz Cortex-A53 & 4x1.9 GHz Cortex-A57) - Exynos 5433
GPUAdreno 420 (Snapdragon 805)
Mali-T760 MP6 (Exynos 5433)
hivyo kuna uwezeka mkubwa sana wa kufanya update na kuikuza android v
tena bila lisk yeyote kabisa
 
yangu ina lollipop 5.1 mkuu vp apo?
 
mkubwa niko na flashing box za piranha na volcano hazifanyi kazi sasa hivi maana developers wamesitisha kuzisapoti sijui unanishaurije
 
yangu ina lollipop 5.1 mkuu vp apo?
hiyo unaweza ongezea hadi 9 na hapo hua ni mwisho sijajua kama zinaendelea zaidi fungua
setting shuka hadi palipoandikwa software update baada ya hapo utaona ops 3 chagua ya kwanza download and install uwe na bando la kutosha tu

@
Waterbender
 
Back
Top Bottom