Wadau habari za majukumu
Kuna jambo linanitatiza sana katika kipindi hiki cha karibuni baina yangu na mke wangu. Yaani kuna msg zangu anazijuaa, sasa sijui anapata wapi, mfano jana kuna mdada kwenye group la shule kanitumia msg anaomba msaada nimemtumia. Narudi home umeme hakuna, nikanunua LUKU...
Wakubwa salaam
Nilinunua mabox ya kuflash simu mawili piranha na volcano mwaka 2015, nilikuwa nayatumia vizuri tu bila shida,sasa leo nimepiga window upya yamegoma kutumika na website za Haya makampuni naona kumbe ziko offline kwa muda mrefu sasa.
Nisaidieni nifanyeje niweze kuyaset na...
Natamani ku-test the difference kwenye hizi simu za kichina.
Mimi ni mpenzi wa hizi display za Samsung za curved na amoled au oled screen.
Sasa hizi brand za kichina zina-offer the same screen design and displays. Na pia zinatoa premium specifications kwa bei ya chini ya hizi za Samsung au...
Waswahili wanasema ukijua hili wenzio wanajua lile.
Kikundi cha kina mama kutoka Kongo kimesema enough is enough, wamesema sasa basi. Wakina mama hao wamechoshwa na taarifa za kila siku kutoka Marekani ambapo kila kukicha watu weusi wamekuwa wakiuliwa na hivyo kutishia kutoweka kwa kizazi cha...
Ukitembea kariakoo utakuatana na wauzaji wa kila aina. Na wengi wao sio watu wazuri kabisa.
Wanakuuzia simu kwa kutumia mbinu zote za ushawishi. Ndani miezi miwili simu imeharibika. Na ukitaka ubadilishiwe au urudushiwe hela yako. Wanakataa.
Kama hutaki kukutana na huu usumbufu. Au labda...
Najua ndugu zangu wa tecno mtakuja hapa na povu kama lote. Ila acha niwaambie tu kwamba hienda hamkuwaza sawa walati mnanunua hivyo vifaa vyenu vya mawasiliano.
Anyway nimechagua kadhaa ambazo ni bei rahisi. Japo zingine zinaweza kuwa refurbished lakini zinaperform vizuri tu.
Watu wengi...
Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga makampuni ya mitandao yote ya kijamii, akiyatuhumu kujaribu kuzuia uhuru wa kujieleza.
Wawakilishi...
Msanii wa Mashairi ya kuongea,’Spoken words poerty, Malle Hanzi, ameandika kuhoji sheria ya makosa ya mtandao ilivyo. Amehoji hili baada ya Msanii wa kuchekesha kushitakiwa kwa kosa la kutumia laini isiyo sajiliwa kwa jina lake.
Amehoji kama kutumia laini isiyosajiliwa kwa jina lako kuna...
Kama kichwa cha post kinavyosema, nataka ujue ni jinsi gani ya kuweza kuflash simu yako ya Android kwa kutumia Proglam mbalimbali kulingana na tatizo binafsi.
Hapa kwanza nitaelezea simu mbalimbali kulingana na aina ya chipset zake
= => Tecno
= => Infinix
= => Gionee
= => Innjoo
= => Itel...
Wakuu natumia simu aina ya Huawei Y9 Prime
Nimejaribu kuhamisha files Kutoka kwenye PC kwenda kwenye simu Lakini imeshindikana.
Sasa sijajua tatizo litakuwa ni kwenye simu au USB cable, maana mpaka Sasa nimeshajaribu zaidi ya USB Cable tano Lakini sijafanikiwa.
Kuna mzee wa heshima sana aliniomba nimsetie simu yake mambo fulani.
Kwa bahati mbaya inahusisha gallery, nilichokuta ni video za porn sijaamini kabisa na wala sijamuonesha dalili yoyote kua nimeona hadi leo.
Wa pili ni dada mmoja alipoteza simu yake hivyo akanipa email yake ni login ili nilog...
Kuna kampuni moja hivi ambayo si elewi elewi maana ishabadilishwa majina kibao na ujanja ujanja kibao ndani yake. Ipo pale yale mabasi yenye njia yake yanapo geukia. Sasa bana, juzi kati nilinunua bando la buku mbili shida yangu ilikuwa kupata MB's; cha ajabu sijui ndio kawaida yao basi bando...
Wadau, kuna hawa jamaa wanajiita XCITE wanadai wako Mombasa Kenya, wanauza Iphone kwa bei rahisi sana. Sasa ishu ni kwamba unalipia nusu kwa mpesa, paypal etc then unamalizia pale utakapoletewa mzigo.
Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi nunua kwao na mzigo ukafika kweli wasijekuwa...
Habari zenu wadau wa jukwaa la biashara.
Mdau mwenzenu nimewaza sana biashara ya kufanya baada ya kudunduliza kwa mda mrefu sana Tsh 10 millions na nikakopa 10 million jumla nna 20 million, nimeona nifanye biashara ya kuuza simu.
Mpango wangu ni huu.
Soko/Frame: Arusha mjini.
Brand: Samsung...
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao ambayo kwa mara ya kwanza ilitanguliwa na TECNO CAMON 15.
Akizungumza kwa njia ya simu leo jijini...
Homa ya corona imetikisa kila kona ya dunia hivi sasa. Tanzania nako si kisiwa kwani napo visa vya maambukizi vilianza kupatikana kuanzia mwezi Machi.
Katika nyakati za changamoto hii ni lazima kuhakikisha sote tunashirikiana ili kuzuia kuenea kwa maambukizi ya kirusi cha homa hii.
Tumeona...
Wakuu wa mambo ya technology
Hebu naomba mnisaidie kutofautisha kati ya simu ambazo ni refurbished na zile ambazo sio refurbished?
=====
The term ‘refurbished phone’ generally refers to a pre-owned handset that has been sent back due to a fault and has been repaired for re-sale.
Not all...
Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa.
Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha.
Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.