Viongozi ndiyo wanaokwamisha mchakato wa mabadiliko, FCC yatoa taarifa leo. Mashabiki na wanachama wa Simba mtadanganywa hadi lini?

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,410
36,560
TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO.

- Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na viongozi wa Klabu hiyo Siku chache zilizopita.

-Tume ya ushindani Tanzania (FCC) imeuuliza Uongozi wa klabu ya Simba,kulikuwa na uharaka gani wa kuteua Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wakati mchakato wa Mabadiliko haujakamilika..!??

- Katika Taarifa ya Tume (Maelezo Zaidi pichani) imeutaarifu umma kuwa ucheleweshwaji wa mchakato (transformation) wa kubadili mfumo wa uendeshaji wa Klabu ya Simba unatokana na mwitikio hafifu wa kampuni ya Simba Sports Club Company Limited wa kuwasilisha taarifa kamilifu na kwa wakati mbele ya Tume katika kufanikisha uchunguzi Kama ulivyoainishwa Katika Taarifa hiyo.

Updates Tar 20-11-2020

Simba yaijibu Tume ya taifa ya ushindani

1605847904057.png

1605847919952.png
FB_IMG_1605876501017.jpg
FB_IMG_1605876506071.jpg
FB_IMG_1605876510927.jpg
 
Moo dewji ana hisa % ngapi? Kuna sehemu nilisikia wanachama hisa 51, wawekezaji wasiopungua 3 hisa 49, au Moo kachukua 49% peke yake?
 
TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO.

- Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na viongozi wa Klabu hiyo Siku chache zilizopita.

-Tume ya ushindani Tanzania (FCC) imeuuliza Uongozi wa klabu ya Simba,kulikuwa na uharaka gani wa kuteua Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wakati mchakato wa Mabadiliko haujakamilika..!??

- Katika Taarifa ya Tume (Maelezo Zaidi pichani) imeutaarifu umma kuwa ucheleweshwaji wa mchakato (transformation) wa kubadili mfumo wa uendeshaji wa Klabu ya Simba unatokana na mwitikio hafifu wa kampuni ya Simba Sports Club Company Limited wa kuwasilisha taarifa kamilifu na kwa wakati mbele ya Tume katika kufanikisha uchunguzi Kama ulivyoainishwa Katika Taarifa hiyo.View attachment 1630022View attachment 1630023

Mo aache timu irudi kwenye mambo ya michango basi

Ndio tunachokitaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom