Simba SC wakopi muonekano wa Jezi namba 3 ya Tottenham Hotspur

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
1605850731123.png


1605850842634.png

 
Aliyebuni hayo maandishi ya mo xtra ndiye kachafua jezi kabisa.

Mo pamoja na utajiri ila hajajua brand ni pamoja na umaridadi wa maandishi,color ndiyo baadae taste
Kuiga kitu kizuri huwa ni jambo linaonyesha unajitambua.Sema katika jezi ya simba kitu kinachonikera ni hiyo MO EXTRA imekaa ki dwanzi sana.
 
Hapo mbona fresh tu. Soka lenyewe tumeiga kutoka huko Asia na Ulaya leo jezi ndo iwe nongwa! Au soka lilianzia Afrika?

Hayo maandishi yenyewe ya Young Africans mmeyaandika kwa lugha isiyo yenu, kama vipi mngayaandika kwa Kitindiga.
 
Acha wacopy tutanunua tuu, mbona magari, simu, mabati ni sare sare,

Jezi ni nguo ya kuvaa mara moja moja tu tena kipindi cha mpira muwe sare na sio mapambo ya nyumbani
 
Back
Top Bottom