simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Inonga ana viwango vya Laliga na EPL. Tatizo tupo timu mbovu sana ya Simba

    Nimemfuatilia kwenye hii michuano ya Afcon. Hakika jamaa ni bonge la beki. Sema aliyemshauri kuja Simba kamuharibia sana.
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Rwandair anatua DOH, DXB,JHB, CPT, LOS, ACC, EBB Vs ATC?

    Rwandair wanatua destinations za mashiko kibiashara 1. London Heathrow, 2. Brussels, 3. Paris, 4. Dubai, 5. Doha, 6. Mumbai, 7. Lagos, 8. Douala, 9. Libreville, 10. Accra, 11. Dar, 12. Entebbe, 13. Nairobi, 14. Kilimanjaro, 15. Johannesburg, 16. Cape Town, 17. Lusaka, 18. Harare...
  3. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Yanga yatinga 20 bora ya vilabu vilivyotumia gharama kubwa zaidi kufanya usajili Mwaka 2023

    Kwa mujibu wa report za FIFA za hivi karibuni kuhusu gharama za usajili na uhamisho wa wachezaji, imeonyesha vilabu vikubwa kama Al Ahly, Mamelodi, Pyramids vikiendelea kuonyesha sababu ya wao kuwa bora huku zikiendelea kuwekeza katika kununua wachezaji wenye ubora ili kuendelea kusalia katika...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimewaona wapya wetu Wawili katika Ushambuliaji Simba SC na naomba niseme tu Bingwa tena Msimu huu ni Yanga au Azam

    Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji. Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua. Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri...
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Anayeangalia mechi ya Simba vs Tembo(FA) inaonyesha mpira wa back pass upo kwenye damu ya wachezaji wa Kitanzania kabisa

    Wasalam wanajukwaaa. Nipo naangalia hii Match ya Simba na Tembo ya FA Aisee inakera badooo sana, Yani zile beki zinachokifanya ndio kile tumetoka kukiona kwenye Team ya Taifa. Japo sio wote walikua Team ya Taifa ila hiki ni kielelezo kua Kumbe wachezaji wa Kitanzania swala la kuchezea Mpira...
  6. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Simba Bado inacheza mpira mbovu

    Bado sijaelewa kama hawa wachezaji wa Simba wana kazi nyingine zaidi ya mpira au namna gani? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo na wanakosa seriousness. Bado wachezaji wetu wanaendelea kuwa na tatizo la ball control, possession ya mpira kwa wachezaji bado shida. Pass accuracy...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tumechoka sasa dharau za Clatous Chama tafadhali aachwe upesi

    Tokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano. Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana wengi wenu hamjamuelewa Kiumakini Msemaji wa Simba SC juu ya Uwanja watakaoutumia

    "Kwa sasa Simba SC tutautumia Uwanja wa Azam Complex kwa Mchezo wetu dhidi ya Tembo katika Mechi ya ASFC Keshokutwa na Taarifa ya Simba SC itatumia Uwanja upi kwa Mechi zake za Ligi Kuu ya NBC na CAFCL itatolewa baadae" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally alipokuwa akiongea na Mtangazaji wa...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Chama asamehewa na Uongozi wa Simba Sc

    Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast. Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya...
  10. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Pale simba hakuna viongozi bali kuna genge la wahuni tu

    Ni ajabu sana na inasikitisha sana kwa timu inayojiita inao viongozi na viongozi hao hao wanashindwa kujua kanuni walizoshirikishwa kuzitengeneza juu ya viwanja vya kuchezea ligi kuu na FA? Kiongozi bila aibu eti anaomba timu ikachezee Zanzibar kwani huku bara hakuna viwanja? Wamekimbia CHAMAZI...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tafuteni Uwanja kwa Mechi zenu za Ligi na FA, New Amani Complex kiwe tu kwa Mechi zenu za CAFCL

    GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu (NBC) na FA (ASFC) halitokubaliwa ila kwa Kuutumia kwa Mechi zenu za CAFCL mtaruhusiwa nyie na Yanga SC...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC kwahiyo mlidhani kuwa mtaificha hii Taarifa ya Kocha Benchika kuwakataa Adebayor na Manzoki na haitojulikana nasi?

    Benchika kiboko hakyanani yaana baada tu ya Wachezaji hawa kutua Dar es Salaam kimya kimya na kwenda Kwanza kutambulishwa Kwake (anakoishi) na kuambiwa na Uongozi kuwa Unawasajili ili watumike Kikosini Yeye bila ya Kuchelewa akauambia Uongozi (wa Simba SC) na Bonge la Sonyo kuwa wachague nani...
  13. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Unatakiwa ufanye hivi, unapokutana na simba uso kwa uso

    Mh, tuombee isitokee, lakini kama imetokea na umekutana naye ili asikudhuru unatakiwa ufanye kitu hiki ni kigumu lakini unatakiwa ukifanye: Simama mwangalie macho kwa macho huku ukiondoa hofu!!! Simba humuogopa binaadamu hivyo atakupa hiyo heshima endapo usipomuonyesha hofu!!!!! Utaweza...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mchambuzi wa video wa Simba yupo hadi sasa?

    Simba ni club ya kwanza Tanzania kusajili Mchambuzi wa video(video analysis) aliyetokea nchini Zimbabwe. Kabla ya mechi ya Simba na Kaizer Chief wachambuzi wakubwa Afrika walieleza sifa kubwa ya Kaizer Chief ni kufanya counter attack na kufunga kupitia cross au kona. Tulipocheza nao tulifungwa...
  15. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

    Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania. Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm. Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.
  16. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Simba hapo vipi??

    Unaweza kuona ni makosa madogo lakini ni makubwa kwa ukubwa wa Simba na hadhi ya mkutano wenyewe!
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Simba mnatuchukuliaje wanachama na mashabiki?

    Hakuna mtu asiyejua kama hatuna mafanikio, lakini sio kutufanya mazuzu kutuletea mafanikio ya kuungaunga. Mtu anapimwa kwa kufanikisha objectives, sasa mtueleze hizo ndio zilikuwa objectives zenu? Wanachama ili tuheshimiane kuna kila sababu za kufanya kitu kwa hawa viongozi
  18. pilato93

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mwenye taarifa za fedha za simba sc

    Habari ya muda huu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye swali langu , mwanachama aliyeshiriki kwenye mkutano mkuu wa simba na anajua taarifa za fedha ? Au anielekeza sehemu ya kupata online
  19. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Haya ndo mafanikio ya simba 2023/2024

    Kama mnakumbuka mlichanga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Bunju, ile pesa ilitumika kujenga ukuta wa Bunju na kuimarisha kambi ya timu” Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu Mafanikio mengi ni kama yafuatayo kufungua whatsApp channel Kuchukua ngao ya hisani kwa timu ya wanaume Kuchukua...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kesho ni mkutano mkuu wa Simba ajenda kuu ni Katiba

    Kesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji. Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta umesema umemaliza kazi take na kukabidhiaoni tayari kwa ajili ya kupitishwa na mkutano mkuu lakini...
Back
Top Bottom