Benchikha aendelee kumuamini Onana au anapoteza muda wake?

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Nani anabisha?

Kabla ya ujio wa kocha Benchikha kutokana na performance ya Onana tuliamini (mashabiki wa Simba) kuwa dirisha hili dogo Onana Hana nafasi ya kubaki Simba

Ila toka ujio wa Benchikha Ni tofauti jamaa anajitahidi kwa kiasi chake na kwa nilichomsoma kocha Kati ya wachezaji ambao kocha anawaamini jina la onana lipo ndani (anamuamini Sana)

Na wewe unaweza kuchangia Nini mawazo yako?? Benchikha aendelee kumuamini onana au anapoteza muda wake tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom