TANESCO mnafeli hasa huku mikoani, ufunguzi wa AFCON na mechi ya mapema Simba mmeshaukata umeme

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,935
2,014
Mnashindwaje kuyachukulia uzito matukio makubwa mawili kama haya?

Rais wetu Ndugu mueshimiwa mwinyi ametumia kukarabati uwanja wa Amani kwa usd kadhaa na tukio kubwa la Tanzania liko zenji mmetukatia sisi wa mikoani umeme tusokuwa na majereta tusione, mnauangusha uchumi wa blue ndugu zangu aijarishi nyie ni wahandis, Simba au Yanga.

La pili National team iko huko sisi wa Northern tunahitaji kuona pilika pilika Ufunguzi rudisheni umeme hata ule tunaodaiwa hata na walotukupesha bado wanatudai madeni waambieni hata leo wawashe mitambo wasichukue hela za bure tu.

Mwisho kupata wanamichezo wa Taifa hili wajalo ni watoto wasokuwa na majenereta wala TV za Sola turudishieni Umeme Taifa letu lina Mwako wa michezo leo tuna Big game 2 jamani

NDANI NA NJE
 
Watanzania wakatie umeme kwenye mambo ya msingi wala hawatakulalamikia, ila ukiwakatia umeme kwenye mambo ya kipuuzi puuzi utasikia kelele zao. CCM wanalijua hili, na wataendelea kutumia mbinu huu kutawala Tanzania milele
 
Tanzania angalau ipo dar wewe huko mikoani kongo unafanya nn🤣😀🤣
Mkuu haijarishi dar au Congo kwenye matukio makubwa hasa siku kama hii ya hitimsho la mechi ya mlandege na Simba walitakiwa wajiongeze kutupa nishati tena ni wikiendi
 
Watanzania wakatie umeme kwenye mambo ya msingi wala hawatakulalamikia, ila ukiwakatia umeme kwenye mambo ya kipuuzi puuzi utasikia kelele zao. CCM wanalijua hili, na wataendelea kutumia mbinu huu kutawala Tanzania milele
Unatukosea heshima mkuu watanzania tunajielewa,ukikata umeme wakati vikao vya Bunge vinaendelea na tukilalamika tunaambiwa tuhamie Burundi hatuhitaji kuangalia hivyo vikao,ukituakatia umeme wakati mtu anatushawishi tukaandame kuuungana mkono kila jimbo litoe wabunge wawili wawili tunajielewa pia hatutaki mambo ya siasa sisi tunachohitaji ni Amani na Furaha kama hizi za zanzibar usiku huu na Afcon Tanesco walipo wajiongeze basi
 
Mkuu haijarishi dar au Congo kwenye matukio makubwa hasa siku kama hii ya hitimsho la mechi ya mlandege na Simba walitakiwa wajiongeze kutupa nishati tena ni wikiendi
Ukiona hivyo imeshindwa hio plan b ndio maana giza

Hem kama una mtu kule Tanzania mpigie simu akupe hali yaendeleaje kule Tanzania (dar es salaam)
 
Back
Top Bottom