simba

  1. mtungu

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa JKT Tanzania pale Mbweni

    Nasikia simba watacheza apo sasa kama huo uwanja unaweza kuchezewa ligi kuu kwa nini na sisi tusicheze pale bunju upi mzuli kati ya uwanja wao na wetu
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Simba chasikika. Kayoko kuwekwa kikaangoni

    MWENYEKITI wa Kamati ya Waamuzi, Nassor Hamduni, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa wamesikia kilio chao dhidi ya mwamuzi Ramadhani Kayoko na jambo hilo litakwenda kufanyiwa kazi na Kamati na Nidhamu na anaweza kuadhibiwa iwapo itathibitika kuwa alikuwa na mapungufu kwenye uamuzi...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Majimaji, Congo Mayimayi, Kenya Maumau. Mjue Mama Onema wa kundi la SIMBA WA MULELE

    Magwiji wa Afrika walikuwa wengi tu wa aina ya Kinjekitile Ngwale... Soma historia ya huyu mama anaitwa Mama Onema ambaye aliishi Congo na ndio alikuwa akiwakinga na Risasi waasi wa kundi la SIMBA MULELE wakipigania ardhi yao dhidi ya wavamizi Marekani na kibaraka wao Mobutu. Mama Onema...
  4. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Kwanini simba mfalme wa nyika hawezi kumdhuru fisi?

    Wakuu habari za uzima? Wengi tunafahamu simba ni mfalme wa nyika na anapo unguruma wanyama wengi hukimbia mbali nae. Kwanini simba huyu mwenye nguvu na spidi hawezi kufua dafu kwa fisi mnyama mdogo kiumbo? Wataalamu Embu mtupe elimu kama ni kisayansi au kwa namna yoyote tujifunze.
  5. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Geita Gold FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Kirumba Stadium | 12.02.2024

    Match Day.... #nguvumoja# Kikosi Cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Geita Kinachoanza. Updates... Mpira Unaendelea 06' Simba wanafanya mashambulizi yakushtukiza kwenye lango la Geita Gold 08' Simba wanapata faulo karibu kabisa na lango la Geita. Inapigwa inakuwa goli kick 15' Simba...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hawa marefarii watatu hawastahili kuamua tena mechi za Simba au Yanga

    Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii! Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yao yamekuwa yakigumbikwa na makandokando mengi kwenye mechi zinazovuta masikio ya wapenzi wrngi! Ukiona marefarii wafuatao wamepangwa kuamua mechi kubwa nakushauri zima TV ukalale! 1. Jonesia Rukya Huyu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Asec Mimosas imeomba mechi ya marudiano na Simba ifanyike kwa Mkapa

    Wakuu habari, Hii habari ya Asec Mimosas kuomba kutumia uwanja wa Mkapa kwenye mechi yao ya marudiano dhidi ya Simba kwenye ligi ya mabingwa Afrika ina ukweli wowote?
  8. Said Stuard Shily

    JamiiForums Tanzania Simba Mkataeni Ramadan Kayoko kuna siku atawaumiza pakub

    Anashiriki kupoteza muda kwà kushirikiana na Timu pinzani,Anatoa kadi ovyo kwà wachezaji wa Simba,Faulo za Simba hazioni,Anawakoromea wachezaji wa Simba hata kama wanadai haki yao.Kifupi Kayoko hana hadhi ya kuchezesha ligi kuu labda ndondo cup ambako nako anaweza kuambulia kichapo amenikera...
  9. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

    Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu! Simba ndiyo timu iliyochukua point nyingi za kubebwa kwenye ligi kuu kutoka kwa MAREFA kina Tatu Malogo, rejea mechi ya Prison, KMC...
  10. Life2

    JamiiForums Tanzania Simba wanalia na refa Ramadhani Kayoko wajiulize ni lini mara ya mwisho wameifunga Azam.

    Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch. Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi...
  11. covid 19

    JamiiForums Tanzania Simba tunashupaza shingo tu ila Chama ndio Simba na Simba ndio Chama kwa sasa

    Kwa mufuatilia match mbili za simba ya tabora na hii ya leo ccm kirumba ni dhahiri kabisa. Chama ndio Simba yenyewe maana kubadilika kwa hama ndio kumefanya timu zima imebadilika sasa. Simba inacheza tofauti kabisa kwa sasa wanacheza vizuri na matokeo yanaonekana maajabu ni kuwa Yanga wanaanza...
  12. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

    Match Day! Mchezo wa 13 kwa Simba akiwa na Alama 29 nafasi 3. Azam wao wako nafasi ya 2 wakiwa na Alama 31. Simba alipoteza mara mbili Mfululizo kwa Azam Fc. Hii ni Mechi ya kisasi. All the Best Mnyama. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Azam Kinachoanza Updates... Timu...
  13. Life2

    JamiiForums Tanzania TFF wanazidi kujipambanua kwamba Simba ni Kijana wao mpendwa

    Natoa kama Rai mashabiki wa Yanga hamna budi kuomba sana kwa ajili ya timu yenu maadui ni wengi mnoo mje na ndani ya uwanja na wanafanya kazi kwa kushirikiana kuhakikisha malengo yenu hayatimii. Adui kwa kwanza mkubwa wa Yanga ni TFF, TFF ipo kwa lengo la kuhakikisha yanga inaharibu lakini kwa...
  14. Execute

    JamiiForums Tanzania Simba imsajili yule Lookman wa Nigeria na Gilberto wa Angola

    Simba tumtoe pale Atalanta huyu Lookman aje na pia yule Gilberto apewe mkataba. Hivyo tutabeba Caf CL mwakani.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Ndiki / Fabo' ya Leo huko 'Kwa Mwinyi' Mkoani Tabora nawaomba wana Simba SC tuelewane mapema kabisa kwa hili

    Ushindi kwa Simba SC leo nauona ni wa 20% tu (japo Wakishinda nitashukuru kwani Mechi hii ya leo ni Ngumu hasa kwa nje ya Uwanja), 25% ni Kufungwa na 55% naona ni Sare / Suluhu kwa Simba SC. Huyo huyo Kiongozi katumiiza kwa Mchezaji Shekhan wa Zanzibar, huyo huyo tena akaja Kutuumiza Mechi ya...
  16. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

    Match Day. Leo Simba anatupa karata yake kwenye mchezo wa 12 wakiwa na Points 26. Nafasi ya 3. Anayeongoza Ligi ana points 34. Mpaka sasa Simba amepoteza Mchezo 1 Draw 2 na Ameshinda 8. Wapinzani Wao Tabora wako nafasi ya 12 kwenye msimamo wakiwa na points 15. Mchezo utafanyika Saa 10jioni...
  17. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Tayari Simba wameshaanza kupata Vikombe vya mkutano mkuu ujao mwakani

    Klabu yeti pendwa imepata mafanikio makubwa ukiacha Yale ya WhatsApp channel MCHEZAJI wetu Inonga amefika nusu fainali afcon. Pia fifa wametutaja Kwenye klabu 12 ambazo zitawania club world cup ambapo Sisi makolo wizard ni WA 7 Africa wakati zinatakiwa timu nne tu. Hayo ni mafanikio yetu
  18. J

    JamiiForums Tanzania Simba Queens wapewa alama na TFF, sasa wanaongoza ligi

  19. I

    JamiiForums Tanzania Simba wasaka wachezaji kwenye mashindano ya Afcon

    Klabu ya Simba ya jijini Dar imeamua kutafuta wachezaji watakaoisaidia timu hiyo katika kusaka mataji katika msimu wa 2024/25. Simba imeweka watu maalum ili kutafuta wachezaji wanaofanya vizuri katika mashindano ya Afcon yanayoendelea nchini Cote D'Ivoire. ==== Simba ina mikakati mizito ya...
  20. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

    All the Best Mnyama mkali. Tukutane saa 10jioni kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) Simba ya Dar es Salaam itashuka Dimbani, Uwanja wa Ziwa Tanganyika kuwavaa wenyeji wao Mashujaa FC. Simba kwenye msimamo wa Ligi yuko nafasi ya 3. Amecheza michezo 10. Akiwa na Alama 23. Anayeongoza ligi Azam FC...
Back
Top Bottom