Rocco sifredi
Member
- Jul 15, 2023
- 57
- 106
Binafsi naona tatizo kubwa la simba lipo katika no 10 mtu ambaye atasimama nyuma ya striker,ambaye atamlisha stricker,mwenye uwezo wa kupiga penetration pass,kupunguza wachezaji wa timu pinzani,na hata kufunga ikibidi
Ukiangalia simba kwa sasa jukumu hilo kapewa saidoo ambaye kimsingi ni mbinafsi,hapigi penetration passes muda mwingi anakokota mpira matokeo yake anachezewa rafu na pia hachezi kitimu anapambana ndio uwanjani lakini outcome ni 0 na ndo tunategemea asimame nyuma ya stricker sometimes tunawalaumu baleke na phiri lakini ukiangalia tatizo hamna anayewalisha pasi za mwisho
Chama ukiangalia pamoja na mapungufu yake lakini kimsingi walau akikaa nyuma ya striker ana sifa zote hizo na ndo maana kipindi simba inachukua ubingwa mfululizo alikuwepo mtu sahihi sahivi simba inashinda kwa shida tukiachana na mipira iliyokufa saivi magoli ya mipango imekua ni ngumu ukiangalia Mpira hata huoni goli litatokea wapi
Hata pale MAN U tuliaminishwa degea ni outdated kwamba wanahitaji golie mwenye footwork nzuri matokeo yake imekua ni kituko
Wazo langu Chama anatakiwa aanze na apewe nafasi walau tutaona muunganiko wa timu kutoka katikati na mbele au la atafutwe no 10 ambaye ana ubora kuliko Chama Ila tukimtegemea saidoo kama playmaker ambaye atawalisha Baleke na Phiri sijui kama tutamaliza hata nafasi ya 2
YANGU NI HAYO