simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba Imeshafuzu tayari robo fainali

    Ni kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare. Kwa maana hiyo basi na hasa ukizingatia waafrika tunavyopenda rushwa na hongo, NI DHAHIRI TAYARI MAKUBALIANO YA PANDE...
  2. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba tusibabaishwe Team tunayo na uongozi tunao JWANENG GALAXY anakufa 4G Road To Semi Final.

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ila nyie kumtetea Mtu asiejielewa na ana makosa ya kujirudia ni kazi. Nimeshindwa kutetea uzi wenu wanasimba Njooni Mjitetee wenyewe😂😂😂 waiten wana simba wote waje naanza na hawa 😂😂 Kalpana Scars OKW BOBAN SUNZU
  3. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania We need Babra Gonzales kwenye uongozi wa Simba

    Uongozi wa Simba ni wa hovyo maana umejaza usajili wa 10% tofauti na huu mwamb Eng. Hersi ambaye akiona Mchezaji mzuri anampandia ndege pasipo hayo ma 10%. Babra alikuwa anawamotivate wachezaji Sana na sio hawa wazee. Uongozi ukishajaaa wazee ni tatizo!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

    1. Hamuwezi mechi za kimataifa 2. Medali ya kombe la looser 3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana 4. Sio Shirikisho huku. NB Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
  5. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba inao wachezaji wazuri Ila hawapewi nafasi tofauti na Yanga

    Kinachoibeba Yanga ni kitendo cha wao kuwajaribu wachezaji wao waliowasajili na sio kwa dakika tano bali wanapewa muda mwingi uwanjani tofauti na Simba ambavyo inasajili wachezaji Ila haiwapi nafasi ya kutosha mfano Luiz Miqson ni mtu anayepaswa kupewa muda mwingi uwanjani ili akili + fitness...
  6. Street College

    JamiiForums Tanzania TFF wanaihujumu sana Simba

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mienendo ya hawa waliopewa dhamana ya kusimamia mpira wa bongo. Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana. Kwenye ratiba za CAF za mwaka huu, wamewatanguliza Simba kucheza alafu Yanga wanafatia. Hii inawafanya wacheze wakiwa wanayajua matokeo...
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

    Viongozi wa Simba hua hawawheshimu Mashabiki zao..Ndio maana kila wakiona Yanga wana trend wao wanawaza kuzima trend yao kwa kitu cha Mda mfupi. Si mnakumbuka Msimu uliopita aimba ilikosa FA ikatolewa CAF kama siku zote Robo na Ligi wakakosa pia walichokifanya wakaanza kununua games na SAIDOO...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Yanga SC ina kitu nasema ukweli kama mwana football bila kujali Mimi mwana Simba SC

    Ukiwa mtu wa Mpira na umecheza mpira na unaelewa mpira na unaenjoy mpira ni raha sana, leo nimefurahi, nimeshangilia, nimechambua, na raha nimeipata. Hongera Yanga SC hongera wana Yanga SC football ni raha sana. Mungu ibariki Tanzania Ni hayo tu 🙏🙏🙏 Wadiz
  9. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Yanga katika ubora wao wa sasa na Simba ya Kipindi kile, Bado Yanga hii ya Moto Imepiga Team kubwa kuzidi Simba Ile.

    Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao. Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli. Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama NKANA serious!!! Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

    Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi. Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi. Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo Mchezo umeanza Dakika...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba na Yanga wote watasare michezo yao ya CAF champions league

    Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu. Asec vs simba 0 - 0ft Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuelekea mechi ya mnyama Simba

    Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabisa mnyama naenda kutoa sare kwasababu Misosa watacheza wamerelax kwakuwa hawana cha kupoteza na Simba watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu. Lakini Mimosa hawajawahi kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumbani, so ni ngumu sana...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Mechanical Supervisor at Simba Cement February, 2024

    Position: Mechanical Supervisor Requirements 8 years in mechanical repair and maintenance, with 1+ year in supervision. Proficient in SAP,MS Office, and computer skills. Must have Experience in maintenance supervision in the cement or equivalent industry. Strong troubleshooting skills...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Benchikha: "Sisi Waalgeria hatumuogopi mtu"

    Wakati Deportivo de Utopolo wakijiandaa kukipiga dhidi ya C.R Belouizdad, tujikumbushe kauli moja ya Super Coach, Abdelhak Benchikha alipokuwa anafundisha USM Algiers. Benchikha alitoa kauli hiyo wakati USMA walipokuja kucheza na Deportive de Utopolo katika mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Anahoji Mshabiki wa Simba: Tulikula 5 mayele alikuwepo ?

    Kumbe bado wapo mashabiki wenye uelewa . Nenda Instagram kwa maelezo zaidi . Nafikiri pamoja na kuto perform pyramid mayele Ana frustration na ile mechi ya Tanzania v DRC alikamatwa vizuri na beki ya stars ya kina mwamnyeto na bacca vijana wa yanga haku score.
  17. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Uchawi waiponza Simba

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeipiga faini ya milioni 1 klabu ya Simba SC kwa kosa la mashabiki wake kumwaga vitu vyenye asili ya unga katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kabla ya wachezaji hawajaanza kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo. Tukio hilo limetafsiriwa kama vitendo...
  18. uran

    JamiiForums Tanzania F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

    Match Day! JKT Tanzania, Wanaialika Simba SC leo kwenye uwanja wa Mej. General Isamuhyo, -Mbweni Dar es Salaam. Mechi itachezwa Majira ya Saa 10:00 Jioni. Jkt wanaingia kwenye huu mchezo wa kukamilisha Mzunguko wa kwanza wakiwa na Points 16. Nafasi ya 12. Wameshinda Michezo 4, Wametoka Sare...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba SC mbona akili zenu zimelala sana?

    Hii timu ina viongozi wasiokuwa na maono kabisa na upigaji uliokithiri, pale mo arena tayari pana pitch nzuri tu. Kilichobakia hapo ni maboresho madogo tu. Vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji pamoja na vyoo, majukwaa mtaweka baadhi tu kwa kuwa mnaanza kidogo kidogo. Mkipata 1b hata kwa...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa Simba kuhamia moja kwa moja uwanja wa Mej. General Isamuhyo ulioko Mbweni?

    Nimewaza na kuwazua, kwa muda sasa Simba imeweka kambi yake maeneo ya Mbweni na ni umbali mdogo sana kutoka uwanja wa Meja Generali Isamuhyo ulipo. Yaani umbali wake ni mdogo kiasi kwamba katika mechi inayokuja ya JKT vs Simba, Simba wanaweza kuamua siku ya mechi kutembea kwa miguu kutoka...
Back
Top Bottom