Match Day.
Updates...
Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku.
Fainali iliyopita;
Mlandege ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain...
Uongozi wa Timu ya Simba umekoselewa na mashabiki kufuatia kupost picha iliyotengenezwa na AI.
Hii ndio Picha ya AI iliyopostiwa na Ukurasa wa SIMBA SC.
HAYA NDIO BAADHI YA MALALAMIKO YA MASHABIKI.
Nini maoni yako?
Embu angalieni clip hii.
Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto...
Nimeifatilia Simba kwenye mechi zote za mapinduzi cup na nimeona bado wanayo matatizo makubwa sana ya kiufundi, nilitegemea mabadiliko baada ya benchikha kuichukua timu lakini silioni ilo kwa sasa!
Simba bado Wana shida ya kucheza mpira wa taratibu na kujenga mashambulizi kwa mwendo wa konokono...
Kwa wasiofahamu mchezo wa jana simba walipata ushindi wa penalti kwa faida ya vitu viwili mosi refa alikua upande wao kwa aasilimia kubwa na pia wachezaji wake wa zamani wanaotumika kama maafisa vipenyo pale Singida.
Simba wao wanahisi Singida utd na Yanga ni ndugu basi kutambua hilo...
Nani anabisha?
Kabla ya ujio wa kocha Benchikha kutokana na performance ya Onana tuliamini (mashabiki wa Simba) kuwa dirisha hili dogo Onana Hana nafasi ya kubaki Simba
Ila toka ujio wa Benchikha Ni tofauti jamaa anajitahidi kwa kiasi chake na kwa nilichomsoma kocha Kati ya wachezaji ambao...
Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha...
Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.
Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.
Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?
Kikosi cha Simba kinachoanza
Kikosi...
Match Day
Simba SC Vs Jamhuri SC
Mapinduzi Cup
New Amaan Complex
Robo Fainali
08.01.2024
Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo saa 2:15 Usiku kwa kuwakutanisha Simba SC dhidi ya Jamhuri FC katika Uwanja wa Amaan.
Mchezo...
Here it is, kwanza
1. Kadanganya Miaka yake kwa wikipedia today changed his age 32 To 26
2. Anatafutwa as an international fugitive.
3. Out of all players, wameenda kwa mtu ana history ya ubakaji. Why?
Nimeangalia mechi zote za Mapinduzi Cup alizocheza Simba Sc. Kuna kitu nimekiona miguuni kwa baadhi ya wanandinga wa Simba Sc.
Nimemuona Kazi akipiga kazi nzuri akiimarisha ulinzi eneo hatari la Simba. Jana dogo sambamba na Kenedy Juma wamepiga soka zuri kwa kujiamini.
Kuhusu Israel Mwenda...
Match Day.
Simba Vs APR
Msimamo wa Kundi B Ulivyo.
Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane.
Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali.
APR anahitaji kutufunga Goli 4 - 0 ili aweze kuingia robo.
Kitu ambacho hakiwezekani.
Akipata huo ushindi...
Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado sijapata!!
Kiliwatokea nini wana Yanga kuja na wazo kama lile!!
Sielewi chanzo chake lakini kwenye kila mechi wanayocheza Simba hapa Tanzania wachezaji wa Simba huchezewa Rafu sana wakati mwingine unaweza kuhisi kwamba labda kuna mkakati maalum wa kuhakikisha wachezaji wa Simba wanaumizwa!!
Match Day
Simba Vs Singida FT FC.
Time: 20:15.
All the Best Mnyama
#nguvumoja#
Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa.
Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali.
Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B.
Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.