simba

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

    Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
  2. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Simba imeamua kuua timu kwa makusudi kama ilivyofanya Azam ilipokuwa kwenye kilele cha ubora mwaka 2017

    Shida ni viongozi wenye tamaa. Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017. Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala aliyekulia huko huko. Ndio njia inayopitia Simba. Kila mchezaji anayekuja na kufanya vizuri hatakiwi...
  3. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Simba wameweza kumvumilia Manula?

    Binafsi huwa sitazami mechi za Simba SC ila baada ya kuangalia mpira wa stars leo kwakweli nimeona utofauti kati ya Diarra na Manula ni mbingu na ardhi! Yaani leo nimejua ni nini maana ya kipa!. Sijazoea kabisa kuona makosa ya hovyo kiasi hiki, kipa kutema mipira ambayo alipaswa kuidaka...
  4. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Swala la Phiri, Onana na Baleke nashauri Benchika achunguzwe. katumwa na waarabu aje kuiua Simba

    Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua. Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa. Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha. Phiri kaja...
  5. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Bora Taifa Stars icheze Leo tuone wachezaji wa Simba

    Dah jamaa zetu Yanga Mara tumuone Aziz Ki first eleven ya Burkina Faso Mara Diarra First eleven ya Mali. Sisi makolo mpaka Leo hatujaonekana. Timu kubwa kubwa Africa Kama Mamelody, Al ahly wachezaji wao washaonekana. Basi na Sisi ngoja Stars icheze tuonekane kidogo
  6. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Simba wameachana na wachezaji Jean Baleke pamoja na Moses Phiri

  7. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Klabu kubwa ya Simba yasajili kinda wa miaka 26 tuu

    Ni yule kinara wa magoli Ligi ya zambia NB. Nisije nikawa nina miaka 12 harafu hamniambii sio vizuri
  8. Objective football

    JamiiForums Tanzania Jean Baleke akiachwa Simba itakua ndiyo mwisho wangu kuwashabikia Wanalunyasi

    Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu. Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua ndio mwisho wangu kuipenda hii klabu. Yaani umteme baleke licha ya uwezo wake mkubwa wa kumiliki...
  9. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Simba yasajili forward Freddy Michael Kouablan kutoka Ivory Coast

    Simba Confirmed new Sign of Striker. Simba has strengthened its ranks by officially confirming the signing of a talented striker from the Green Eagles. This player has gained recognition for his incredible goal-scoring ability, characterized by powerful shots and good headers. His ability to...
  10. Scars

    JamiiForums Tanzania Simba yatambulisha mshambuliaji mpya kutoka Ivory Coast Freddy Michael Kouablan

    Ametokea timu ya Green Eagles kwenye ligi ya Zambia. Kwenye mechi 16 kafunga magoli 14
  11. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu tunafichwa Simba SC kuhusu hizi sajili

    Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri. Hapa ndipo ninapomkumbuka marehemu Zakaria Hans Poppe ni kama simba mzigo (pesa) hakuna. Siku hizi...
  12. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Simba yasajili foward Mgambia, Pa Omar Jobe

  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Saido na Ngoma wanaichechemeza Simba

    Fabrice Ngoma ni mpole pole sana hivyo anapoozesha mpira... Saido ni mchoyo wa pasi na anataka ni LAZIMA kwenye kila mechi afunge..
  14. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Simba kupeleka kikosi cha kwanza Zanzibar katika mashindano yasiyopewa uzito bado imeshindwaa kutwaa ubingwa

    Pamoja na kupania na kukamia mno katika michuano ambayo timu zingine makini iliyachukulia kama sehemu ya kupima baadhi ya sajili zake huku zikipeleka vikosi B na kujàribu baadhi ya wachezaji wa u20 kwa ajili ya kutunza nguvu ya vikosi vya kwanza kwa mashindano makubwa na kuepuka majeraha kwa...
  15. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Simba na tatizo la namba 10

    Binafsi naona tatizo kubwa la simba lipo katika no 10 mtu ambaye atasimama nyuma ya striker,ambaye atamlisha stricker,mwenye uwezo wa kupiga penetration pass,kupunguza wachezaji wa timu pinzani,na hata kufunga ikibidi Ukiangalia simba kwa sasa jukumu hilo kapewa saidoo ambaye kimsingi ni...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hekaya ya Ahmed Ally wa Simba SSC

    TAREHE 7/01/2024 " Kitendo Cha Young Africans kutolewa kimetuu sana Simba, maana tulitaka kuwafanyia unyama, tulitaka kufanya unyanyasaji wa kijinsia. Simba ndio timu Bora na Hakuna timu ya kutuzuia...." TAREHE 13/01/2024 "Mechi tumecheza vizuri sana ila katika maisha kumbuka kitu kiitwacho...
  17. gugumaji

    JamiiForums Tanzania Simba ni mnyama mla ubuyu tu

    Ukiangalia Yanga unagundua hizi timu zinafanana kila kitu inapokuja mpira wa ndani. Ila ukisema ni mashindano ya CAF yule Mzee Kapombe anakuwa Under 20 vile anaupiga kama ndio kapandishwa leo toka timu ya Vijana anagombea namba na Kina Mwenda!
  18. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mlandege Vs Simba (wengi wasichokiona)

    Katika michuano ya kombe la mapinduzi msimu 2023/24, mechi pekee ambayo timu ya Mlandege ilishinda katika michuano hiyo ni mechi ya fainali na ikachukua kombe. Wakati upande mwingine, klabu ya Simba mechi pekee iliyofungwa ni ile ya fainali.
  19. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnafeli hasa huku mikoani, ufunguzi wa AFCON na mechi ya mapema Simba mmeshaukata umeme

    Mnashindwaje kuyachukulia uzito matukio makubwa mawili kama haya? Rais wetu Ndugu mueshimiwa mwinyi ametumia kukarabati uwanja wa Amani kwa usd kadhaa na tukio kubwa la Tanzania liko zenji mmetukatia sisi wa mikoani umeme tusokuwa na majereta tusione, mnauangusha uchumi wa blue ndugu zangu...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba imeyaheshimisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi

    Wakati kuna katimu kanajifanya kana "besi" la kusema mashindano ya kombe la mapinduzi hayana maana na kwamba yana gundu, Simba haikusikia kelele za vyura hao na badala yake imeyapa mashindano ya Kombe la Mapinduzi heshima inayostahili. Ukiacha kombe itakalobeba leo na zawadi za pesa, nadhani...
Back
Top Bottom