simba

  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Azam yathibitisha kupokea ofa kutoka vilabu viwili vikimuhitaji Dube, Simba sc ikiwemo

    Azam FC inathibitisha kwamba imepokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji mchezaji wetu, Prince Dube, raia wa Zimbabwe. Ofa hizo zimetoka katika vilabu vya Simba SC ya Tanzania na Al Hilal SC ya Sudan. Uongozi unazifanyia tathmini ofa hizo ili kuona ipi inafaa. Aidha, Azam FC...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania George Job: Asilimia 99.99% ya mashabiki wa Simba ni wanafiki.

    "Maisha Bila unafiki hayaendi ,wakati nazungumza wakati wa AFL kuwa Al Ahly wako unga mashabiki wa Simba SC walinishambulia Kwa kuwa nilisema Ahly alikuwa anacheza tu dhidi ya Simba SC ,lakini baada ya kutolewa kwa aggregate wengi wanaamini kuwa walikuwa na nafasi ya kupita" "lakini Jana baada...
  3. Labani og

    JamiiForums Tanzania African soccer zone: hizi ni timu zitakazoshinda CAFCL Simba ya mwisho

    Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.👀🏆 Mamelodi.,........24% Al ahly........20% esperence ....14% Petro atletico 12% Young Africans .....10 % Tp mazembe.......6% Simba ........6% Source...... African soccer zone 😂😂 #TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele. Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Azam mmenikera sana jana kwenye mechi ya Simba vs Singida Fountain

    Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam. Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana kwenye luninga akiwa amesimama langoni ameshika taulo lake na maji, akaweka chupa zake za maji vzr, ndani...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mambo niliyoyaona leo Simba vs Singida

    1. Ayoub Lakres ameanza kulewa sifa 2. Che Malone Fondoh amekuwa beki mbovu sana kutokana na makosa ya kitoro anayofanya 3. Babacar Sarr asiwe anaanzishwa kwani leo timu ilikuwa na uhai sana kipind cha kwanza. 4. Simba haina viungo, wanawapanga tu kwa sababu ni wachezaji wa mpira. 5. Inonga...
  7. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Naziona Simba na Yanga nusu fainali

    Very interesting, @simbasctanzania vs @alahly hii game ni 50/50 hata Simba akitoa sare Kwa Mkapa bado game itabaki 50/50 na uamuzi utafanywa Cairo kwa mikwaju ya penati. Katika hili naiona bahati kwa Simba japo kuna marekebisho makubwa ya haraka yanatakiwa kufanywa kwa kikosi hiki safu ya...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa kwa uongozi mzima wa Simba ujiuzulu kupisha wengine

    Kelele na malalamiko yamekuwa mengi kwenye klabu ya Simba. Kuanzia kwenye masuala ya usajili wa wachezaji, matokeo uwanjani, malalamiko ya kuonewa ndani na nje ya uwanja, hadi utendaji wa kila siku wa klabu kote huko malalamiko yamekuwa mengi mno. Kwa muda sasa Simba imekuwa inahangaika huku na...
  9. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Muda ni Saa 2:15 Usiku. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Singida FG Kinachoanza #nguvumoja#. Updates... Dakika ya 5' Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama. Dakika ya 8' Penati wanapata Simba. Anaipiga Saidoo Goaaaaaaaaalllll 2-0. Dakika ya 34' Fredddd...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangi kesho: Petro vs Simba, Mamelod vs Yanga

    Viburi vyote vitatuisha kesho, huo sio utabiri, ni uhakika. Am not Mugo wa Kihiri in Kusadikika, someone who could predict what is will happen in the future. Am sure 💯 draw kesho ni hiyo.
  11. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TFF na TAKUKURU Washughulikie Malalamiko ya Simba

    Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga. Kama malalamiko hayo ni kweli basi kuna uvunjaji wa sheria za nchi zinazozuia rushwa; hivyo TAKUKURU inatakiwa ilifanyia...
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao. Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee. Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Zijuwe koo za Simba

    Wengi wetu tumewahi kusikia vikundi vya kishirikina, vya kihaini, vya michezo na ushirikiano wa aina mbali mbali. Kiuchumi na Kijamii. Mfano kuna Freemasons, Mafia, Yakuza, Templer Knights, Skull an Bones. Wachache sana wanaofahamu kuhusu kikundi cha aina ya kipekee cha koo za Simba. Kikundi...
  14. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Robertinho: Tangu nimeondoka sioni mabadiliko yoyote Simba

    Robertinho anasema tangu amefukuzwa Simba hakuna mabadiliko yoyote kiuchezaji.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Simba has 5 foreign good players. That I think, they are very good

    These five players stand out as exceptional contributors to the team: 1. Onana : The Maestro of Footwork - Onana's nimble footwork on the field is a sight to behold. His dribbling skills and close control make him a formidable force in the attacking third. Opponents struggle to...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Willy Onana wa Simba SC

    Huyu Onana ana kipaji kizuri sana. For sure anaweza kutupa raha sana kama timu itarudi kwenye utamu wake. Au mnasemaje wadau?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msimu huu wa Simba dhaifu wekeni record mpya ya goli 12

    Kama mliweza kuwafunga goli 5 nina uhakika mkikutana tena mnaweza kuwafunga goli 9 au 12. Kwa ubora mlio nao kwa sasa na unyanya walionao Simba ya sasa nawashauri kaeni chini mkubaliane kuweka record mpya. Yaani goli chache ziwe ni 9
  18. Mtini

    JamiiForums Tanzania Hii rasmi: Simba inarudi chamazi badala ya Jamhuri

  19. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Sitaki habari za simba na yanga: Jiheshimu uheshimiwe

    Hivi huko Tanganyika huwa mnasoma somo la nidhamu mashuleni? Umekutana na mtu, wala hamfahamiani kihivyo, hujui anapenda nini, hujui anavutiwa na nini, unakurupuka tu? Nani aliwaambia kila mtu ni shabiki au mfuasi wa mpira? Umekutana na mtu, wala havutiwi hata na mipira, unaanza kuleta...
  20. baba aura

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa leo simba vs coastal

    Habari wanajamvi ,Leo bila kupapasa wala kubipu game la simba na coastal union litsaisha kwa safe au simba kufungwa Kubali au ukatae ila huo ndo ukweli maana Kyle mkwakwani kuna kazi si ya kitoto
Back
Top Bottom