simba

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Aubin Kramo hajui kuwa jina lake limeondolewa kwenye wachezaji wa Simba

    Pamoja na mapenzi kwa timu yangu, ila mara kwa mara sijasita kuja na malalamiko dhidi ya uongozi wa Simba na moja ya maeneo yanayokera wengi yanahusiana na treatment ya wachezaji wake kuanzia wale walio bora hadi wale ambao wanaonekana mchango wao umepungua mno na wanaigharimu timu. Imefika...
  2. III II II II II

    JamiiForums Tanzania Simba atabeba kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika 2023/2024

    Habari zenu wadau! Japo sijawahi kumwambia yeyote, ukweli ni kwamba mara kadhaa nimekuwa nikiota ndoto kuhusu mambo mbali mbali ambayo mengi hutimia kama nilivyotabiri kwa sababu ukiachana na kupewa maono nimekuwa na kipaji asilia cha kutafsiri ndoto. Siwazi sana kuhusu mchezo wa mpira wa...
  3. Muuza madafu wa Ikulu

    JamiiForums Tanzania KUTOKA KWA MUHINA KADUGUDA KADU A.K.A SIMBA WA YUDA

    “Huwezi kumtoa Baleke, Phiri utuletee Jobe sijui Fred wanasimba wasiwe waoga kusema, hapa uongozi umeteleza hata kama wanataka kwenda nusu fainali au kuchukua ubingwa wa Afrika lakini ndio Center Foward Fred ? midfield Jobe ? Sijui Babacar Sarr eeeh jamani ? “Hawa wachezaji hawa, ukienda...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Karia akabidhiwa Jezi ya Simba na Ahmed Ally

  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Alex Ngereza: Simba wameenda kupoteza pesa Zanzibar

    Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:- "Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    "Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
  7. KJ07

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo kauli za viongozi wa Simba

    1:Try Again "Tumedhamiria kufanya usajili wa nguvu utakao kirudisha kikosi chetu kwenye ubora wa juu msimu ujao na hilo linawezekana kutokana na malengo tuliyokuwa nayo ya kuifanya Simba kuwa klabu kubwa Afrika" Hii ilikuwa ni baada ya Young Africans Sports Club kufika fainali ya kombe la...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi ushindi wa Azam jana hauathiri harakati za Simba kugombea nafasi ya pili?

    Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
  9. vvvv

    JamiiForums Tanzania Simba wana nafasi ya kuwa Bingwa Ligi Kuu

    Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa. Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtawaona leo watakavyokuwa 'Nyoronyoro' wakicheza na Yanga SC, ila wakicheza na Simba SC utadhani wana 'Mota' Makalioni mwao

    Na mtakaowabetia hawa Wapuuzi na Wanafiki leo nawapeni Pole Kubwa na wakishinda ni Sare au Suluhu ila kwa Wao Kufungwa na Dear ( Mume ) wao Mpendwa Aziz K Yanga SC ni lazima na ni kwa 99.99999%.
  11. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Simba ilikuwaje wakamuuza Bwalya?

    Ilikuwaje kwa viongozi wa simba wakumuuza Raly Bwalya na kumnunua Isamel Sawadogo? Nimetafakari hili ila nimekosa nimekosa majibu. Naona kuna viongozi wanahujumu hii timu ikichangiwa na kelele za upande wa pili wakituaminisha wachezaji wetu ni wabovu/walevi/wazee. Halafu tukiwauza/ au kuwaacha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Unakubaliana na Kaduguda kwamba kila simba akicheza na simba lazima mtu afe? Nini tufanye tusife?

    Mzee Kaduguda amehojiwa na kueleza kwamba kila Simba na Yanga wakicheza lazima tukio la kifo kinachotokana na mechi hiyo litokee Kama ndivyo na sisi ni mashabiki wa timu hizi na ukifa ndio umekufa na atutaweza kushangilia mpira tukifa! Nini tufanye sisi mashabiki tusife kwa sababu ya Simba na...
  13. Labani og

    JamiiForums Tanzania Himid Mao achukizwa na kitendo Cha ushirikina wa Simba

    Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya El Geish ya ligi kuu ya Misri Himid Mao, akemea vikali vitendo vya shabiki au mchezaji kwenda kutoa mataulo ya makipa golini katika ligi kuu ya Tanzania. Himid amesema vitendo hivyo si sawa katika dunia ya sasa tena kwa ligi inayoonekana...
  14. Labani og

    JamiiForums Tanzania Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

    Wakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ...... Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend ( kaushi) alienda golini Kwa mashujaa na kufukia dawa ( hirizi) ......then after while Chama akaanza...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mwina Kaduguda leo kuwa viongozi wa Simba wakitaka kuifunga Al Ahly ni lazima washirikishe watu wengine yamenifikirisha kinyama

    Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea. Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba. Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa ss hv...
  16. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

    Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.
  17. Mtoto halali na hela

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex Kikosi Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea...
  18. Mtini

    JamiiForums Tanzania Simba walitaka kumsajii Pacome ila waliogopa Chama atanuna

    Taarifa hizi ni kwa mujibu wa kipindi cha michezo cha global TV kinachoitwa kross dongo. Inasemekana jina lake lilikuwepo kwenye orodha ya wachezaji waliopendekezwa na scout ya simba mwishoni mwa msimu uliopita. wameenda mbali zaidi na kusema Pa Omary na Fredy sio mapendekezo ya scout ya simba...
  19. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ukikutana na Simba, ukimtazama machoni huona aibu na kuondoka

    Nani asiyemjua mbabe Simba mfalme wa nyika? Yaani ukutane naye paaah! Utamzame machoni aone aibu na kuondoka? Bado siamini hili jambo naona hawa vijana wa ovyo wanataka kuniingiza chaka siku nikikutana naye mbashara nisichukue njia nyingine za kujiokoa eti nimtizame. Hivi kweli Simba huyu kweli...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Azam yathibitisha kupokea ofa kutoka vilabu viwili vikimuhitaji Dube, Simba sc ikiwemo

    Azam FC inathibitisha kwamba imepokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji mchezaji wetu, Prince Dube, raia wa Zimbabwe. Ofa hizo zimetoka katika vilabu vya Simba SC ya Tanzania na Al Hilal SC ya Sudan. Uongozi unazifanyia tathmini ofa hizo ili kuona ipi inafaa. Aidha, Azam FC...
Back
Top Bottom